TVT, Star TV washinikizwa kutoonyesha Bunge

Of course ni aibu kwetu opposition kutokuwa na chombo cha habari chenye kutetea maslahi ya wananchi hata baada ya miaka 15 tangu huru wa vyama vingi uanze. Hivi vyombo vyote vya habari vya TV vinamilikiwa ama na sympathisers wa CCM au watu ambao hawana ubavu wa kusimama wima CCM wakikohoa. This is a wake up call!

Lazima tuwe na Vyombo vya habari ambavyo havishabikii chama chochote bali utaifa.
 
Back
Top Bottom