KakindoMaster
JF-Expert Member
- Dec 5, 2006
- 1,356
- 88
Maskini Mkullo anatia huruma- kumbe alidanganya kiasi hiki bungeni-kwamba hela za EPA zilitolewa na wafanyabiashara. Dk Slaa ametoa ushahidi wa kutisha kuonyesha kwamba zile zilikuwa hela za walipa kodi. Lakini sasa hata hivyo Mkullo naye ameonyesha ujinga wa hali ya juu sana-ina maana hata kama hizi hela zisingekuwa za walipa kodo ndio kusema hiyo inahalisha wizi uliofanyika? What is wrong with the heads of these guys in JK Government? Ina maana "wamelogwa" hawawezi kabisa kufikiri tena?
Haya mambo ni mazito![/CENTER]
Hawa wamezoea kutudanganya tu lakini wakumbuke tunakoelekea wanaweza wakawa wanashindwa hata kutoka nje kwa aibu.
Waataendelea kuumbuka tu na wananchi wataendelea kuwazomea na kuwaona wababishaji na mafisadi tu.