TVT safari channel utangazaji wenu mbovu hamuelezi boti za kwenda visiwani dar zinapatikana wapi

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,909
51,904
Naangalia safari channel SAA hii mtangazaji anaeleza kuwa Kuna visiwa vingi karibu na Dar vya kutembelea huyu mwanamke hovyo kabisa .Haelezi boti unapata wapi kaanzia tu ohh tunapanda boti tinaenda kutembelea visiwa na tutaanzia kisiwa Cha Sinda stupid.Where do you get the boats? You woman.Looo
 
Your review is important since it is independent. My worry is, will they care?
It is up to them but they are below standard boss wao mbona Ana PhD ya journalism ina maana hawapitii hizo advert Kama Ziko kwenye standard? Utaanziaje tu kusema tunapanda boti kwenda visiwani bila kueleza boti zinapatikana wapi Ofisi ipi nk
 
Nenda Slipway Masaki pale utakutana na kila hitaji lako la moyo

Slipway inapakana na Double Tree by Hilton Hotel

Kuhusu Slipway inapatikana wapi, ni kazi yako....
Chole Rd ( Bakhresa kituo ) unaingia kushoto mbele utatazamana na Double Tree Hotel then barabara inakunja af upande wa kushoto pembezoni mwa bahari ndo Slipway.... uliza hata mmasai/dereva taxi nataka kwenda kisiwani utaelekezwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naangalia safari channel SAA hii mtangazaji anaeleza kuwa Kuna visiwa vingi karibu na Dar vya kutembelea huyu mwanamke hovyo kabisa .Haelezi boti unapata wapi kaanzia tu ohh tunapanda boti tinaenda kutembelea visiwa na tutaanzia kisiwa Cha Sinda stupid.Where do you get the boats? You woman.Looo
Hahahah..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom