TVE NDANI YA DSTV

Geechie

JF-Expert Member
Oct 26, 2015
977
760
wadau napenda kufahamishwa kwa anaelewa katika kusearch search channel za king'amuzi cha Dstv nimekutana na channel moja bomba full music inaitwa E ipo channel 295,Je nani au ni kituo gani ndio wamiliki WA hiyo TV station...kiukweli nimeipenda.
 
Mambo ya DJ Majizo hayo pale KNet House.
 
Back
Top Bottom