TV1 inawaaibisha Clouds TV katika ubora wa Taarifa ya Habari

richaabra

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
1,454
3,469
Nimefuatilia kwa makini taarifa za habari za Clouds TV na TV 1. Nimegundua TV 1 yani wana waandishi smart sana hadi ninapata mood ya kuangalia taarifa yao ya habari tofauti na Clouds TV habari ya wapiga tarumbeta wakina Harris Kapiga, wanapiga makelele tu!
 
Clouds hawana lolote, tena nashangaa walivyofagiliwa kwenye uchambuzi wa magazeti, ni mcharuko na makelele mwanzo mwisho
 
Nimefuatilia kwa makini taarifa za habari za Clouds TV na TV 1. Nimegundua TV 1 yani wana waandishi smart sana hadi ninapata mood ya kuangalia taarifa yao ya habari tofauti na Clouds TV habari ya wapiga tarumbeta wakina Harris Kapiga, wanapiga makelele tu!

Clouds tv huwa wanakuwa clear na katika ubora wao unaotukuka pale tu wakijua leo Mr. Sulphuric Acid atawasalimu mubashara au Mpenda sifa Mkuu na Kiherere Mr. Matege ya Bata anazungumza jambo na wasaka nyoka Ofisini kwake.
 
Tv 1
Wamewapiga gape kubwa sana Clouds.
Clouds ni kama rusha roho tu.
 
Nashindwa kuchangia sababu sina TV japo naweza kukubaliana na nyie sababu ukisikiliza kipind cha redio clouds cha temino kiukwel wanamualika mgeni lakin wanaongea wao kulko mgeni mwenyewe anaewafundsha,,inawezekana sana kuwa kuna ukwel juu ya hili hasa mliposema Harris kapiga ndio msoma habari
 
Back
Top Bottom