Tv za Tcl Smart msaada wenu jamani

Hajto

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
5,589
5,423
Habari zenu jamani,Leo nimebadilisha kioo cha tv aina ya tcl,lakini baada ya kubadilisha kioo maandishi ya kioo yamebadilka,je mwenye kujua setting zake anisaidie
 
Sidhani kama kuna Settings za kubadilisha hilo tatizo. Nahisi kuna makosa yalifanyika wakati wakuweka kioo kipya.
Mtafute fundi aliyekubadilishia kioo anaweza kujua zaidi.

*Au tulia nifike getto ncheck kama kuna hiyo settings.. Ila sjaii ona

Distributed Denial-of-Service
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Sidhani kama kuna Settings za kubadilisha hilo tatizo. Nahisi kuna makosa yalifanyika wakati wakuweka kioo kipya.
Mtafute fundi aliyekubadilishia kioo anaweza kujua zaidi.

Distributed Denial-of-Service
Fundi aliniambia hapo ni setting,kuna jamaa atamtafuta jumatatu anajua setting zake,nikajua humu jamii forum kutakuwa kuna wajuzi zaidi
 
Habari zenu jamani,Leo nimebadilisha kioo cha tv aina ya tcl,lakini baada ya kubadilisha kioo maandishi ya kioo yamebadilka,je mwenye kujua setting zake anisaidie

Jaribu kureset picture mode, nenda reset picture setting, then factory reset ok, kisha zima uiwashe!
Zipo tv nyingine zina option ya kureverse/kuflip picture, sina experience sana na tcl but jaribu hiyo option!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu ndio nafika getto muda huu.

Nimetafuta sana hiyo setting lakini hakuna.
Labda ujaribu "factory reset" Ikikataa basi ujue huyo fundi anajua ukweli wa alichofanya Ila anakuzungusha.

Distributed Denial-of-Service
 
Try that one
IMG-20200126-WA0000.jpeg

Distributed Denial-of-Service
 
Mkuu ndio nafika getto muda huu.

Nimetafuta sana hiyo setting lakini hakuna.
Labda ujaribu "factory reset" Ikikataa basi ujue huyo fundi anajua ukweli wa alichofanya Ila anakuzungusha.

Distributed Denial-of-Service
Nawe una Tcl sio
 
Back
Top Bottom