Si ujarbu kumtafuta uyo alokubadlishia umuelekeze hilo tatz mkuuMaandishi yamekuwa chini juu
Pindua Tv tu, mkishindwa geuzeni vichwa juu chini, chini juu maisha yaendelee.Maandishi yamekuwa chini juu
Fundi aliniambia hapo ni setting,kuna jamaa atamtafuta jumatatu anajua setting zake,nikajua humu jamii forum kutakuwa kuna wajuzi zaidiSidhani kama kuna Settings za kubadilisha hilo tatizo. Nahisi kuna makosa yalifanyika wakati wakuweka kioo kipya.
Mtafute fundi aliyekubadilishia kioo anaweza kujua zaidi.
Distributed Denial-of-Service
Me natumia TCL smart TV S6500, tulia nkifika getto ntacheck kama kuna hiyo setings af nkujulisheFundi aliniambia hapo ni setting,kuna jamaa atamtafuta jumatatu anajua setting zake,nikajua humu jamii forum kutakuwa kuna wajuzi zaidi
TCL ni makini sana, may be yake Iliharibiwa na mtoto or by other meanskwani hizi tv zinaharibikaga?yangu mbona ni roho ya paka.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Pindua Tv tu, mkishindwa geuzeni vichwa juu chini, chini juu maisha yaendelee.
Habari zenu jamani,Leo nimebadilisha kioo cha tv aina ya tcl,lakini baada ya kubadilisha kioo maandishi ya kioo yamebadilka,je mwenye kujua setting zake anisaidie