tv yangu imekua kama radio msaada wenu wakuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tv yangu imekua kama radio msaada wenu wakuu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by LEGE, Aug 5, 2012.

 1. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  wakuu natanguliza shukrani kwenu kwa kuendeleza kutujuza na kutusaidia hapa jamvin sis wenye matatizo. Wakuu mim nina tv flat screen bapa aina ya sanyo model CE26LD81-B. Tv hii ilikuwa mwanzo nikiiwasha inatoa tu sauti inakaa kwa mda fulani kisha ndio inaanza kuonyesha picha.. Lakini sasa hivi imekuwa tofauti nikiiwasha inatoa tu sauti bila kuonyesha tena picha mwanzo ninapo iwasha display huwa nyeupe na taratibu huchange na kuwa black . Kuna baazi ya mafundi nimewauliza wanadai tv hizi za flat hazitengenezeki kwa kuwa zina saketi kama simu. Lakini kuna fundi aliniambia kuwa huwa wanabadili kadi na inakuwa powa ?? Mim nilikuwa naomba ushuri na utaalam wa haya mambo toka kwenu wakuu kwa yeyote mwenye maujuzi anisaidie?? Je kwa tatizo hilo tv inaweza pona??? Au ndio isha kufa??
   
 2. N

  Nali JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 825
  Likes Received: 248
  Trophy Points: 60
  Pole! Emb chukua remote then angalia sehem iloandikwa tv/radio au video/audio then bonyeza kati ya hizo. Inawezekana ulibonyeza audio au radio ndio maana huoni picha. Vinginevyo tafuta fundi aliekaribu na wewe kwa msaada zaidi. Asante!
   
 3. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mkuu sio kwamba nikibonyeza ndio itakubali hapana?? Ni kwamba imehalibika kiasi kwamba hata nikiweka upande wa dvd bado itakuwa inatoa sauti tuu bila kutoa picha hivyo nakuwa kama nasikiliza redio
   
 4. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  nadhani ufate ushauri wa fundi ...
   
 5. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,034
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  je ni frat ya chogo au frat ya lcd
   
 6. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  ni frat ya lcd mkuu msaada wako??
   
Loading...