TV ya KBC naipata kwenye king'amuzi kipi?

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Nimewahi kuiona mwaka 2010 kwenye king'amuzi cha Startimes
kipindi hicho nilikuwa sijanunua king'amuzi. Naomba kujua King'amuzi
gani inapatikana?
aNimenunua Kifurushi cha Uhuru inaweza kuwa inapatikana kwenye KILI?
Wajuzi naomba mnifahamishe.
 
Back
Top Bottom