TV-Stations za Zenji vipi?

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,723
WanaJF,

Ukiwa Zanzibar ninaamini unakamata stesheni nyingi tu za TV za Bara.

Lakini inakuwaje huku bara hatushiki stesheni za Zanzibar za TV?, au shida hii ni huku mkoani tu nilipo mimi?

Kwa wanaotumia antenna za CHADEMA, hapo ndo usijaribu kabisa, lakini mimi hata FTA-dish nimegonga ukuta, sikamati kitu toka Tanzania yetu ya Visiwani...Kunani?

Lakini, kimsingi ingekuwa ni jambo jema sana kama stesheni za Zanzibar zingekuwa zinakamata Bara vizuri, maana ingesaidia kuona hadharani baadhi ya mambo ambayo kwa sasa yanazua utata mwiingi bila sababu.

Naomba maoni yenu wanajamvi.
 
Maoni yangu Wahusika na vyombo hivyo waboreshe TV zao. Yaani toka Zanzibar ipate uhuru (Mapinduzi Zanzibar 1964) mpaka leo kweli hata TVZ inashindwaje kurusha matangazo yao kwenye Satellite ili nasisi wa bara angalau tuweze kuyapata kupitia kwenye dish.

Wazanzibar hebu mulione hili. Na sisi tunahitaji kujua nini kinaendelea huko visiwani kama nanyi mnavyojua kinachoendelea huku bara. Chonde chonde chonde!!!!!!!!!!
 
Kigogo , McFroasty, na Kibunago...some inputs on this chronic matter!
 
umeme hawana unazungumzia satellite? hawana ile kitu inaitwa contingency planning na sifikirii kama watakuwa nayo

anning
 
umeme hawana unazungumzia satellite? hawana ile kitu inaitwa contingency planning na sifikirii kama watakuwa nayo

anning
Suala la wao kutokuwa na umeme ni suala la mpito, mtoa mada PJ yeye anazungumzia suala hili katika maana pana zaidi na mchangiaji mmoja anazungumzia tangu mapinduzi ya 64 na hasa ikizingatiwa kwamba wao walikuwa wa kwanza kuwa na TV.
Kwa hiyo kimsingi sintofahamu ya PJ haijajibiwa.
 
TV za Morogoro zinafika Kagera?
Is that so?

Kwahiyo un alinganisha Zanzibar na Morogoro eeh?

Hujui Zenji ni nchi ya kwanza katika sEHEMU KUBWA KABISA YA aFRICA KUPATA tv YA RANGI?

Sasa kinachowashinda kupatikana kwa sattelite ninini?, au ni regulation za idara ya mawasiliano, TCRA ZINAWABANA?

Lakini mimi binafsi naona ni mapungufu makubwa sana haya..sijui wenzangu!
 
Kuna baadhi ya maaneo ya DSM yalikuwa yanaweza kushika TVZ vizuri huko miaka ya nyuma, kwa sasa sina hakika kama bado TVZ ina nguvu ya kurusha matangazo yake hadi huko Bara.
 
fikiri zanzibar tu wewe!!!! uku umeme hakuna,maji safi na salama yakutafuta ....chakula cha bei juu wewe unafikiria tv station nani ataweza kuiendesha bila umeme wa uhakika na wafanyakazi wapatiwe mishahara mizuri ile waweze kununua maji na vyakula.....watu wanaisha zanzibar wanaisha maisha ya kujifunza shida na raha....mzanzibar anaishi kokote hapa dunia.
 
Back
Top Bottom