Tv station | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tv station

Discussion in 'Entertainment' started by mabina, May 17, 2010.

 1. mabina

  mabina JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Jamani hivi ni lazima kila kitu kionyeshwe TBC? Sio siri mi TBC wanankera sana coz wanataka kila kitu/tukio walionyeshe ila hawawezi, mifano mizuri mataifa huru 2010 TBC walionyesha lakini ni baadhi ya mechi angalia jinsi KILI MUSIC AWARD walivyoboronga walalahoi tunasubiri kwa hamu ktazama LIVE,tunaonyeshwa vipengele pengele, chakushangaza zaidi wanakatisha matangazo hayo wantuwekea filamu, kwa upande wangu iliboa.

  ONI LANGU KWA TBC
  Sio kila kitu wakionyeshe wao, tiari mmeshajulikana mnauwezo zaidi lakini wapeni nafasi nawengine maana vipindi mnavyo vingi zaidi ya ratiba zenu.
  Badiriken tusikarie sifa tu ya kutazama TBC lakini mpanglio mbaya!!!!!!
   
 2. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sasa wameingia ubia wa kuuza ving'amuzi vya wachina katika kombe la dunia,tutaona mengi.
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mi nafikiri hiyo ni changamoto kwa kaka tido.kukaa kote uk anatakiwa kutuletea vitu vya mbele sio vya mwaka 47
   
 4. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Duuh kama ni hivyo hali inatisha kwa ss wapenda soka...na kombe la dunia hilo!!!
   
Loading...