Tv software for Nokia 5800xm

Msaada kama kuna software ya ku watch Tv simu ya Nokia 5800xm

Mkuu na mimi natumia hiyo simu na huniambii kitu kwa cm nyingine kwa sasa...ngoja tusubiri kama kuna mtu mwenye hyo application..otherwise kuna applicatns nyingine nzuri tu,sijui kama umezipata...

nendeni hapa, m.mobile9.com chagua aina ya simu yako then nenda softwares, search spb tv, hp itasaidia. Ebu nambie unaaplication gani useful coz am uzng the same phone

nendeni hapa, m.mobile9.com chagua aina ya simu yako then nenda softwares, search spb tv, hp itasaidia. Ebu nambie unaaplication gani useful coz am uzng the same phone

Daah mkuu ubarikiwe i have found cul stuff uko ma 4ne ni N72 lakini pia nimefaidika thanks again

nendeni hapa, m.mobile9.com chagua aina ya simu yako then nenda softwares, search spb tv, hp itasaidia. Ebu nambie unaaplication gani useful coz am uzng the same phone

smartmovieplayer for playing music video inapatikana hapohapo mobile9

smartmovieplayer for playing music video inapatikana hapohapo mobile9

Smartmovie inaplay video 2,3gp,avi na format nyngne kibao. Huwa naitumia kuangalia movie (avi and divx format). Ipo mobile9.
Recommendation: uc player and core player are better than smartmovie

Tunashukulu ndg zetu kwa jinsi mnavyotupa maujanja kama hayo huyo moja ametuwakilisha watu kibao.tunashukulu kwa mawazo yenu wapendwa

kwa wale wenye xpress music zenye touch screen downloadini hii spb mobile shell au spb mobile. Hakika ya 4n will look new to ya eyes.

Jamani mi kasimu kangu ni nokia model 2700c-2 je mnanishauli niende pande zipi

Phone yako inatumia java applications, nenda hyo hyo web m.mobile9.com utapata mambo meng sana including themes,softwrz za java,screensaver.wallpaper na mengn kbao

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom