Msaada kama kuna software ya ku watch Tv simu ya Nokia 5800xm

Msaada kama kuna software ya ku watch Tv simu ya Nokia 5800xm

na mimi 5530

Nicheki 0717456856 ntakurekebishia fasta.[mkuu kwanini usitoe maelekezo kwa faida ya wote
nendeni hapa, m.mobile9.com chagua aina ya simu yako then nenda softwares, search spb tv, hp itasaidia. Ebu nambie unaaplication gani useful coz am uzng the same phone

Daah mkuu ubarikiwe i have found cul stuff uko ma 4ne ni N72 lakini pia nimefaidika thanks again

nendeni hapa, m.mobile9.com chagua aina ya simu yako then nenda softwares, search spb tv, hp itasaidia. Ebu nambie unaaplication gani useful coz am uzng the same phone

smartmovieplayer for playing music video inapatikana hapohapo mobile9

Tunashukulu ndg zetu kwa jinsi mnavyotupa maujanja kama hayo huyo moja ametuwakilisha watu kibao.tunashukulu kwa mawazo yenu wapendwa

Jamani mi kasimu kangu ni nokia model 2700c-2 je mnanishauli niende pande zipi

Nicheki 0717456856 ntakurekebishia fasta.

kwa wale wenye xpress music zenye touch screen downloadini hii spb mobile shell au spb mobile. Hakika ya 4n will look new to ya eyes.

Thenk u!

Karbu sana