TV iliyounganishwa king'amuzi moja kwa moja inahitajika haraka.

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,393
24,968
Habari wadau.

Tv tajawa hapo juu inahitajika.

Kwa anayeweza kunipatia naomba tuwasiliane pamoja na bei zake. PM yangu ipo wazi kwa majadiliano.

Asante
 
Startimes digital TV
24" ->350,000/= king'amuzi cha dishi na antennae
32" ->550,000/= king'amuzi cha dish na antennae
40" ->850,000/= king'amuzi cha dish na antennae
Inauwezo wa kutumika pia Kwa king'amuzi chochote kile na deki za DVD
Mfn; azam, dstv, zuku n.k

Matumizi ya umeme kiasi kidogo, picha yake (zote) full H.D..#
Malipo yake ni 6,000/=, 9,000/=,12,000/=, 18,000/=, 24,000/= &36,000/=

Ina FTA ( Free To Air Channels) zaidi ya 21 zikiwemo na za ndani!. Njoo PM Kwa mazungumzo zaidi mkuu
 
6e361397778a44499a7d2f48e0dc3c61.jpg
IMG-20161110-WA0005.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom