SOLD: Tv flat screen, Simu, Subwoofer Vinauzwa

Doto Dotto

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
3,327
1,988
StarX inch 32, Tsh 270,000/=

Samsung Galaxy J7 prime duos, Tsh 220,000/=

Subwoofer Sea piano, Tsh 80,000/=

King'amuzi startimes Tsh 50,000/=

Stand ya Tv Tsh 30,000/=

Vyote bado viko katika hati nzuri

Piga. 0654 613703 Mwanza kona ya bwiru
20200409_085228.jpeg
20200409_121304.jpeg
20200409_121130.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndg uko na mtazamo chanya sana nimependa majibu yako,sasa fanya hivi tafuta mteja fanya naye mazungumzo halafu swala la usafiri utaniachia mimi nitalifanya kwa gharama zangu bila kumtoza mteja wako wala wewe. Ukiwa na maswali njoo uniulize pm karibu
Mtego wa panya huingia waliomo na wasiomo.
 
Hizo R na L mna tatizo nalo lipi? Kutamka kwa mdomo nafahamu inaweza kuwa ngumu basi hata kwenye kubofyabofya na vidole nako inakuwaje?
 
Hizo R na L mna tatizo nalo lipi? Kutamka kwa mdomo nafahamu inaweza kuwa ngumu basi hata kwenye kubofyabofya na vidole nako inakuwaje?
Mkuu ujasoma baoloji darassa la sita kodinesheni of living singi

#Stayhome safe COVID-19 is everywhere
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom