TV Digital Migration Raises Concern on December 31

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
By Happy Lazaro and Joseph Lyimo,Confusion reigns among residents of Arusha of what exactly will happen when Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) honors its deadline for the switchover from analogue to digital TV broadcasting come December 31.

Some of the residents interviewed by the Arusha Times over the imminent switchover from analogue to digital claimed that Tanzania has rushed into the matter without first educating viewers about its essence.
Athumani Juma of Kaloleni Arusha said the migration to digital is just another method of fleecing people who are already reeling from the burden of inflation. To him that is another added cost of living, as he will have to buy a decoder in order to view TV channels that he now enjoys free of charge.
Amina Juma of Majengo Arusha is of the view that it is only a small percentage of Tanzanians who have access to TV and if one introduces a decoder hitch then "obviously many people would simply stop watching TV."
She wondered why only a few companies have been given the monopoly to sell the digital decoders. "There should be competition so that we get best prices,' she added.
A TV dealer near the Central Market place, Hussein Mohamed said the switchover to digital is a major blow to his business. Many dealers, he said, would be stuck with the analogue gadgets already stocked in their shops. "TCRA has rushed into the switchover. We should have been given adequate time to dispose of the existing analogue equipment," he said.
Another electronics dealer, John Laizer, was disgusted with the whole idea of abandoning analogue broadcasting claiming that digital is far inferior to analogue. "TV analogue transmission is solid and doesn't cut off frequently as digital does," he added.
Elsewhere in Kibaya , Kiteto district resident said what TCRA is preaching is not news to them because they have always been on digital broadcasting since they were connected to grid electricity in 2000.
"We only use satellite dishes in this part of the country so we are on digital even before the TCRA move to shift from analogue to digital broadcasting," said Mohamed Hamad of Kibaya.
A TCRA engineer at the Arusha office, Sabath Kalolo confirmed that as of December 31 there will be a complete switchover to digital broadcasting and those with analogue TV would require decoders to be able to view programmes. The decoders do not need to be topped up with credit every month to view local channels suchs ITV, Channel 10, Star TV, TBC etc.
TCRA Public Relations Manager, Innocent Mungy had earlier announced in Dar es Salaam that only seven towns out of more than 20 directly covered by terrestrial analogue TV would need to migrate to digital. The rest of the country does not have TV coverage and access to TV is through satellite or cable, which does not need to migrate to digital terrestrial.
In order to get decoders, sometimes referred to as set-top boxes, TV set owners will have to link with one of the existing privately owned digital broadcasting companies, which include Star Media and Agape Television.
 
Kama wanatumia madishi kwasasa wataendelea kupata free channel kama kawa, wenye antenna imekula kwao.
 
Vipi kwa tunaotumia ving'amuzi vya MediaCom kwa chanel za bure kuna haja ya kununua ving'amuzi hivyo vya Startimes, Ting na Zuku kwa anayefahamu tujulisheni.
 
Vipi kwa tunaotumia ving'amuzi vya MediaCom kwa chanel za bure kuna haja ya kununua ving'amuzi hivyo vya Startimes, Ting na Zuku kwa anayefahamu tujulisheni.

mkuu, wala hata usihangaike. Wewe uko sehemu salama tayari.
 
Kitu kinachonishangaza ni kwamba so far vimefungwa mitambo katika mikoa saba tu ya TZ kati ya 20 na kadhaa.sasa itakapozimwa hiyo tar 31 mikoa iliyobaki itakuwaje ? TCRA mlikuwa wapi siku zote kuhakikisha kwamba tar 31 desemba mikoa yote iwe imefungwa mitambo ya digital na hao ma service providers ??? uzembe everywhere
 
TCRA ni wababaishaji, kama kawaida ya taasisi zetu Tanzania ni porojo nyingi midomoni, lakini utendaji mbovu. Hii mikoa iliyofungwa mitambo ya digital technology ni michache, hata robo ya nchi hawajafika, Ina maana kuna mikoa itabaki bila matangazo ya TV ifikapo 31 Dec. Hii inaonyesha jinsi serikali yetu inavyo ongozwa na viongozi wazembe wenye siasa za ubabaishaji na ukiritimba, ni maneno tu, hakuna cha maana kinachofanyika.
 
TCRA ni wababaishaji, kama kawaida ya taasisi zetu Tanzania ni porojo nyingi midomoni, lakini utendaji mbovu. Hii mikoa iliyofungwa mitambo ya digital technology ni michache, hata robo ya nchi hawajafika, Ina maana kuna mikoa itabaki bila matangazo ya TV ifikapo 31 Dec. Hii inaonyesha jinsi serikali yetu inavyo ongozwa na viongozi wazembe wenye siasa za ubabaishaji na ukiritimba, ni maneno tu, hakuna cha maana kinachofanyika.

juzi nilimuona dg wa tcra kwenye itv akisema sehemu yoyote nchini ambayo technology ya digital haijafika basi ile ya analogy haitafugwa, mathalani kama mji wa morogoro wataendelea kupata tv kutoka sua na abood kwa kutumia antenna za kawaida maarufu kama chadema, pili nikusahihishe kidogo sio mikoa saba imeunganishwa na mitambo ya digitali ila ni miji saba tu kwa mfano startimes imefika mji wa tanga lakini haipo wilaya ya korogwe, lushoto handeni na kama sikosei muheza na pangani hii inamaanisha ni watanzania wachache sana wameunganisha na technology hii.tunaomba itv na star tv kwa kupitia kampuni yao ya basic transmission wa adopt system ya dvb s ili watanzania wote tufaidike na tech. hii mpya
 
Back
Top Bottom