zipo..startime lazima akalishwe but hazijawa launched..soon ntakupa info nikiwa km mdau wa btl..ndio kwanza wanarecruit wafanyakaz:becky:
Hivyo vyote hovyo tu, kuna receiver inatumia line ya simu inakamua chanel zote za dstv haina cha premium sijui family inakunguta zote, inauzwa laki unusu ukinunua kadishi kako ka kU kwa elfu hamsini ukaweka ya mfungaji kama we si mjuzi hivyo 220 Umemaliza. inavyofanya kazi: ndani ina modem ambayo inazifukunyua chanel zote na kuzifungua unahitaji line ya simu mtandao wowote unaweka kifurushi cha mwezi haijalishi cha sh400 au elfu ngapi yenyewe ilimradi mwezi. hata ukiiwa na 50MB Inatwanga.

vinapatikana wapi mkuu hebu ni pm
vinapatikana wapi mkuu hebu ni pm
Nimewapa jina wala haviuzwi kwa siri we zunguka maduka wanapouza madishi na tv utapata na kingine hawa jamaa si kwamba wanajificha wameweka mpaka web wanajitangaza we google hawak dvb satelite receiver wanakupa mpaka contact za kupata mzigo tena kupitia west union. Walioomba pm hakuna haja nimeweka hadharani kila mtu afaidi.
Mkuu acha kupotosha watu vitu kama hivyo huwa haviuzwi hovyo kama unavyofokiri its pirate stuff, nenda duka lolote la kuuza decoder waambie unataka decoder inayoittwa voxtrol kama watakupa kwanza utaulizwa kama ww ni fundi ukishangaa utaambiwa hatuuzi unajua kazi yake?
msaada jamani kariako ni maduka gani utapata receiver hizi za hawak maake nimezunguka sana lakini hola
Najua DSTV wanaumiza kichwa lakini zamu hii mchina kawashika makalio. Kinaitwa HAWAK najua wajanja wa mjini washakidaka mahoteli kibao ndo habari ya mujini. nilipewa story nkabisha. jana niliyembishia akaniita ofisinikwake nikajionee nilikaa chini. mchina noma ila nimejifunza kitu unapotoa huduma yavitu hadimu kwa garama kubwa unajitengenezea wezi mfano microsoft na windows zake.