Tuzungumzie ubaguzi wa rangi, ubaguzi wa kipato na vurugu nchini Marekani

Leslie Mbena

JF-Expert Member
Nov 24, 2019
207
677
TUZUNGUMZIE UBAGUZI WA RANGI, UBAGUZI WA KIPATO, NA VURUGU NCHINI MAREKANI

Leo 10:50hrs 22/11/2020

Mwaka 2016 Dr Ben Carson alialikwa na Rev Shapton kwenye mkutano wa watu weusi kule New York kama mgeni rasmi,hii ni kabla ya kutangaza kugombea Urais wa Marekani Mwaka 2016, Aliamua kuwaambia ukweli blacks,watu weusi na wanugu kwa maana ya weusi waliozaliwa Marekani hawafanyi kazi ila wanaongoza kwa vurugu,Dr Ben Carson aliwaambia kwamba Sasa umefika wakati tuongee mambo ambayo hatupendi kuyaongelea kama ndoa za utotoni miongoni mwa weusi, mauaji miongoni mwa weusi na mambo yanayohusu familia zetu sisi weusi wa hapa Marekani,Lakini baadae Rev Shapton akasema nikihitaji Daktari wa kunitibu basi nitamchagua Dr Carson lakini sio sera zake kuhusu sisi watu weusi.

We have our issues we need to address them in our neighborhoods yes, Also I want you Dr Carson to know black issues are society issues,kids without fathers or without family are not limited to blacks only,In fact there are more white kids who are being raised by single mothers than black kids (The President,Barack Obama was one of them). While we are addressing our issues like we pastors and ministers with our programs to councel black men to be responsible we can at the same time fight racism, For example, Minister Louis Farrakhan has the program for years which transformed a lot of black men in jails, and there are countless of these responsible black men out there,The issue like unarmed Amadi Dialo (African immigrant)who was shot 42 time by 4 white police officers for nothing, he didn’t commit any crime , initially police were not charged, it is things like that, that we called white privilege or racism. We just need to be treated equally thats all,. hey can stay in their great neighborhood and what not.

-Ubaguzi wa rangi, Ukabila na Udini


Ujirani wa watu wa Marekani umeegemea kwenye lugha,rangi,dini na kipato,dio maana tutakuta majirani wanaofanana kwa lugha,mfano Chinese Neighborhoods, Spanish neighborhoods,African Neighborhoods,White Neighborhoods,Vivyo hivyo tutakuta makanisa ya watu weusi,Waislam wa Ismailia,utawakuta Wapakistan na Wahindi,tukija kwenye kipato hiyo ni hulka ya binadamu,hata white akineemeka the first thing anahama neighborhood,Is natural,ukishakuwa tajiri,ile neema ya kipato inataka utulivu wa akili na nafasi kubwa,Unatoka one bedroom apartment unataka mansion with six bathrooms. Ukishakuwa na neema unataka kuishi na wenye neema ili ufanane nao,hilo lipo kwa watu weusi na Wazungu,

-Naweza kumuunga mkono Dr Carson kwa vigezo hivi vifuatavyo;-


1. Whites,Wazungu,Waafrika na Wahindi nao wana Mbagala na Madale zao au Kichangani na Forest zao, Je ziko violent kama za Neighborhood za Blacks nchini Marekani?

2. Je, hakuna Blacks matajiri na middle class? Jibu wapo,Kina Puff Duddy, Jay Zee, Floyd Mayweather, Why hawa promints Black leaders wasiende kuishi maeneo ya Black Neighborhoods but chose kukimbilia kwa wazungu? Sikilizeni ndugu zangu, Tajiri hawezi kwenda kuishi uswazini mfano Moscow kule Kinondoni Mkwajuni,au Tandale,au Temeke, Mafisa kule Morogoro au Mabatini kule Mwanza,kuna tabia za ajabu sana, kuna mtu ataamua saa sita usiku ndio anagonga bati lake, wengine wanakesha na vigodoro, mwingine anamtishia mwenzake uchawi,mwingine anamwambia mwenzake kama unaweza kula ubwabwa leo pika tuone,mbwa wewe!

3. Ubaguzi unaanza kubagua kwanza tabia za watu,Struggle you stick with your own people,Nelson Mandela, Giovanni Mbeki, Walter Sisulu nk walikuwa offered wakaishi maeneo ya wazungu kuonyesha apartheid ama Ubaguzi wa rangi nchini Afrika ya kusini ulibase zaidi kuexclude watu wakaidi na si rangi,Japo walikataa na kubaki na wenzao katika mitaa ya Soweto.

4. Black leaders wakati umefika wakuaddress real issues kama alivyoshauri Dr Carson, they know ila wanakwepa kukimbilia secondary ya ubaguzi, The real issues for Blacks ni familia, watoto walelewe na baba na mama, mimba za utotoni, wafanye kazi kwa bidii, waende shule si kudream NBA, NFL na Hollywood, wasamehe yaliyopita na kumove on.

-Rule of Economics

As your income goes up,some thing become inferior,tumeona Mawaziri na wabunge kwa hapa Tanzania,wakipata hela wanaenda kununua nyumba Masaki,Oysterbay vivyo hivyo na watu wa Marekani,kila mtu alipata hela anahamia kwenye watu wa kufanana nae,na imekuwa hivyo,ndio maana blacks neighborhood wanakaa wa kufanana na wao,hoja siyo kuchange status,Makanisa ya wazungu huwezi kuwakuta wakipandisha mizuka na kuruka lakini Makanisa ya Waafrika upandisha mizuka na kuruka ruka,They just use one line of the Bible, the rest is by the way. Umeshawahi kuona wazungu wakirukaruka na kupanda mzuka kanisani?

Wayahudi waliacha kilio cha kukaa wanaimba ant semitic,They decided kumiliki mitaji na kwenda shule na kujifukia kwenye sayansi at the same time carrying the banner of being discriminated thus how it works,Do your part first as internal facror while pointing finger to external factor but dwelling at external factors alone while doing nothing? You will find them flying while complaners walking,Like any success there are individual efforts as internal factors mfano kwa mwanafunzi kujisomea, high intellect, discipline nk then kuna external factors kama walimu, best school, good parents, religion to keep you in order, good friends etc

To Blacks wamekazania external ile internal kufanya sehemu yao hawataki kila saa ubaguzi,Diamond baada ya kuneemeka akahama Mbagala kuhamia Madale ila unataka kina Jesse Jackson waishi on poor neighborhood ? This is nature,May be you had no choice. If you had many options on the table the likes of Baraka Obama of Tiger Wood the story could have been different,Black leaders like Jesse Jackson, Al Sharpton and most prominent African America who lives in other states besides Atlanta- Georgia are scared to live around Black neighbourhood,Thats why with all these solidarity movements with their own (black people) .. People like Jesse Jackson, Obama, Al Sharpton etc they live in white majority neighborhoods. They can never live closer to 80 % of their own kind. And most of their friends are Whites,

Nimalizie kwa kusema,Is time for Black leaders to educate their community how to thrive and survive in this world of competition, I believe they should pull a leaf of best tactics from Jews who have been persecuted for many years and still going on at flying color,Most blacks are violent by nature. If you bring trouble to police they will give you hell. Keep your head down and follow the law and order,Police don't give a damn they have murdered as many Whites as well. The message is clear don't mess up with law enforcement,Point ya Dr Carson ni kuwa blacks hawapendi kuongelea real issues badala yake wanapenda kuongelea minor issues.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
 
Toeni euro million 27 za watu au mtuambie mmezifanyia nini hayo mambo ya marekani tuwaachie marekani
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nimeona hizo risasi 42 nikakumbuka mwili wa Lissu alafu nikakumbuka kua Ouko wa Kenya uchunguzi ulikuja kufanyika baada ya muda gani vile!!
 
Nimeona hizo risasi 42 nikakumbuka mwili wa Lissu alafu nikakumbuka kua Ouko wa Kenya uchunguzi ulikuja kufanyika baada ya muda gani vile!!
Vyama tawala vya nchi za Afrika ndiyo chanzo cha uvunjifu wa haki za binadamu na mauwaji ya watu wasiyo na hatia
 
Diamond mwenyewe kakimbia Tandale (a.k.a. Mbagala), sembuse hao wanugu wa Marekani? Hii ndiyo hali ya dunia na wale wanugu kule Marekani wamekimbia maisha ya ghetto (Uswahilini) kwa sababu wangeendelea kuishi kule na watu masikini lazima tu wangetunguliwa risasi na kuporwa mali zao.
 
I hate this regime(TZ),Ila bila kuangalia rangi ya avatar ya mtoa mada.Alichoongea ni point kabisa,hakuna sababu ya kumnanga kutokana na affiliation yake(ccm)..
 
Ben aliongea ukweli mchungu usiotakiwa kusikika masikioni mwa weusi.

kuna viongozi vilaza uku Africa wasio na maono na wamefirisika kiakili wanasingizia ukoloni na ubeberu kuwa ndo chanzo cha ufukara wetu.
 
Back
Top Bottom