swadktaaa kabisaWe bado mdogo ukifika umri wa kujitegemea utajua.
Kimsingi tumetofautiana vipato kwenye familia zetu,
Mwingine anahitaji Subaru forester ili aanze kujitegemea
Mwingine anahitaji subwoofer na mtungi wa gas mdogo ili aanze kujitegemea.
Dhana ya kujitegemea ipo ndani ya uwezo wako je unaweza vipi kujaamiina na jamii inayokuzunguka..ukiweza hilo nenda kajitegemee usiangalie fulani ana nini au alianza na nini
Sijakupata mkuuHakuna mwanadamu anayeweza kujitegemea(kuishi mwenyewe mwenyewe) lazima kuwe na watu wanaokuzunguka ndipo wewe uishi.
Binadamu wote tunategemeana, labda sema ni vitu gani unavyotakiwa uwe navyo unapoanza maisha ya kujipangia mahitaji.
Napenda watu kama nyie, yaani katika kila kitu mnapenda kuonyesha uniqueness kwa hoja, by the way umenifurahisha.Hakuna mwanadamu anayeweza kujitegemea(kuishi mwenyewe mwenyewe) lazima kuwe na watu wanaokuzunguka ndipo wewe uishi.
Binadamu wote tunategemeana, labda sema ni vitu gani unavyotakiwa uwe navyo unapoanza maisha ya kujipangia mahitaji.
Naunga mkono hoja. Hii ndo point ya kwanza ambayo binafsi naweza sema, kitu cha kwanza ni kujitambua wewe kama wewe, kujua unataka nn na una malengo gani ukijua hilo basi jithathmini uwezo wako kimatendo kufikia malengo hayo.Akili ya Maisha
Navutiwa sana na uandishi wako mkuu.. thanks 😁😁Naunga mkono hoja. Hii ndo point ya kwanza ambayo binafsi naweza sema, kitu cha kwanza ni kujitambua wewe kama wewe, kujua unataka nn na una malengo gani ukijua hilo basi jithathmini uwezo wako kimatendo kufikia malengo hayo.
Ukishajitambua, sahau umri wako nenda kajitegemee usimsikilize yule atakayekuambia wewe bado mdogo kujitegemea.
Baada ya kupitia yote nadhan utapata wakati hata wa kula music kama ninavyokula music hapa, maisha ni kujitambua tu mkuu, huwezi amini unaweza ishi kwa kufanyiwa kazi na mwingine na kulipwa wewe ila kama tu ukijitambua na kuwa na akili ya maisha.
Asante boss Kibo JrNavutiwa sana na uandishi wako mkuu.. thanks