Tuzo za waandishi bora Tanzania 2009 kuna jipya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuzo za waandishi bora Tanzania 2009 kuna jipya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rutunga M, Dec 22, 2009.

 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2009
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Niombe radhi kwa kutoshiriki kwa muda katika JF kwa muda,hii ni kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu,ingawa nilikuwa nasoma mwazo ya wenzangu.

  sijui kama thread kama hii imekwisha wekwa hapa ama la

  Majuzi tu MCT ilitoa tuzo kwa waandishi bora wa mwaka 2009 ingawa katika sherehe hizo haikuwekwa wazi vigezo vya washindi wala kazi zao hazikuoneshwa hii ni kwa sababu ni mara ya kwanza au mapungufu ya waandaaji.
  click here
   
Loading...