Tuzo Za Frontline Management Ruswha Tupu....Ufisadi Siyo Wanasiasa Tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuzo Za Frontline Management Ruswha Tupu....Ufisadi Siyo Wanasiasa Tu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Muke Ya Muzungu, Mar 10, 2011.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Bintiye mzee makamba wa Vodacom Mwamvitta Makamba, alihonga hela taslimu Millioni 5 kwa Irene Kiwia na Nancy Sumari wa Frontline Management ili apewe tuzo la Woman of the Year. Inasemekana Mwamvitta alionga hizo hela kwenye party Runnway, na matokeo yake kumshinda mwele malecela katika kinyang'anyiro hicho... kama mambo ndo haya tanzania inaelekea wapi na hawa watoto wa wakina makamba na wakubwa wengine wasio na adabu katika jamii

  Tukijakidili kwa undani kidogo, ni kitu gani kizuri Mwamvitta ameifanyia taifa la kitanzania? huyu dada ni mwakilishi tu wa Vodacom anayegawa sukari, madawati na mchele kwenye shule. kazi ambayo mtu yeyote engefanya. inakuwaje wakina mama wanabadilisha sura ya nchi kwa kutetea haki za wanawake, wanyimwe tuzo kama hizo, wanawake wanaohatarisha maisha yao wa TAMWA wananyimwa na mdada ambaye kila kukicha yuko twanga pepeta na kwenye mitandao apewe tuzo kwa sababu kahonga?
   
 2. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0

  firing squad itawafikia tu
   
 3. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2011
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hayo mambo ya firing squad hayafai aisee. Hiyo tutawapa watu wanaolawiti watoto wadogo. Mi sioni sababu ya hii kuwepo kwenye jukwaa la siasa per se. Mwamvita Makamba ni mtu tuu kama mwengine lakini zaidi hiyo Frontline inatoa wapi authority yakutoa woman of the year award? What is the voting procedure etc, frankly it could be anything but as long as it has legitimacy derived from transparent practice, their awards will become a prestigious achievement for people to aspire towards. On the other hand even the Nobel Committee has been accused of political influence and corruption so... No big deal Frontline is no one, and neither is some woman who is just a rep for a telecoms company. This is trivia.
   
 4. mchakavumlasana

  mchakavumlasana JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  samahani, wametumia vigezo gani kuwapata washiriki, mchakato wa kupiga kura ulikuwaje?:hand:
   
 5. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Hahahaaaa, Tanzania bwana. Kila sehemu wataka kula. Yenyewe hiyo Frontline ndio nini? Watu wanaotoa tuzo kama hizo wanasifa gani? Mambo ya Urembo wa akina Lundenga? Aaah mambo mengine hayafai hata kujadiliwa. Nadhani Mwamvita anafaa kushinda huko, maana kimajukumu anafanana na hao wenye frontline. Kujionesha kwenye camera. Ingekuwa aibu kwa mtu kama Mwele kwenda kupata tuzo kwa watu kama hawa.
   
 6. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ni kichekesho kumlinganisha huyo binti wa makamba na dkt malecela
   
 7. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mie nampigia debe Bi Kidude ameachieve vitu vingi sanaaa!!! na amekula chumvi nyingi mno!
   
 8. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  watanzania bwana... wewe award wanatoa akina irene kiwia (nadhani unamjua historia na maisha anayoishi) ... hivi unategemea watatambua roles za wanawake wa kweli wa tanzania?? wao wanaangalia TV na blogs wakati wanawake wa ukweli hawapambi TV... si umeona hata picha za ile shughuli??

  to me the zile awards sio prestigious
   
 9. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,223
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Sure.
  Frontline hawana udhu wa kutoa tuzo zilizotukuka. Watendaji wa Frontline akina Nancy Sumari na mwenzake Kiwia unawaonaje katika jamii?
   
 10. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  unategea nini wauza makalio wakigawa tuzo... tutegemee za mm ntilie pia. mwamvita ana gonjwa wa akili kiherehere mno kama bbake ba kkake, damu ya makamba nzito
   
 11. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  nadhani muhimu wangeweka vigezo vilivyotumika kumpa ushindi mwanvita maana siamini kama alifaa
   
 12. c

  chetuntu R I P

  #12
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Award yenyewe haina sura ya kitaifa kabisa hivi walianzia ngazi za mikoa nk?? Wangeiita tu Frontline.... Award ! Kuna wamama wazalendo wachapakazi, wanarisk hata maisha yao kusaidia jamii. Wanashost list mashoga zao na kupeana. Hii kitu ingeratibiwa na wizara ya maendeleo ya jamii jinsia na watoto.
   
 13. L

  Leornado JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0


  mwenyewe nilishangaa manake mwenye kampuni NANCY SUMARI hana elimu ya maana zaidi ya cheti cha UD, walau Irene Kiwia ana kijielimu lakini hafikii kuwa jaji na kuwachmbua wasomi ambao ni Dr na Prof. Yeye angeishia kuandaa Miss TZ na matamasha lakini kwa hili hana qualification, though idea yao ya kutoa tuzo ni nzuri.

  Ni kujidhalilisha ukizingatia watz wanapenda ujiko na tuzo zisizo na maana kama JK anavyopenda kuitwa Dr wakati ni Baron.   
 14. L

  Leornado JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  hivi si ndio waandaaji wa KISURA WA TANZANIA NAJITAMBUA??
   
 15. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ahmada umelewa....
   
Loading...