Tuzo za FIFA 2010: Messi mchezaji, Mourinho kocha bora

Yaani unamaana Messi asugue benchi Barca? You must be dreaming. Hebu angalia stats zake za game alizocheza ukulinganisha na mchezaji mwingine yoyote Barca. Kaka huyo sio Rooney!!
Kwani yeye nani,wamepita mastaa kibao Maradona kisha akauzwa Napoli,Romario,Ronaldo Lima,Gaucho,Etoo,Stoichkov
rekodi yake ya magoli wapo kina Kubala miaka ya 40 mhungary 196,Rodriguez magoli 235 miaka ya 55 mspain enzi hizo,Messi wa 5 ana magoli 158 mpaka sasa hivi michuano yote,
 
Tena wa kawaida sanaa... Nampenda messi kwa character yake zaidi ya mpira mpira wake...habwabwaji bwabwaji hovyo na akipata chance huwa ana-assist sana kama mzee mwenyewe Etoo, na sio choyo kama Duroguba. Yaani ana roho nzuri, ofcoz he is above standard ndo maana tunamuongelea, ila kwa skills kawaida sana...

kama mtu anapinga ajibu kwa hili swali lako kwa nini ..
jiulize kwa nini Messi akiwa Argentina anachemsha.Bila ya XAVI,INIESTA & BASQUET Mesii ni mchezaji wa kawaida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom