Tuzo za awamu ya nne

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
5,565
836
Awamu ya nne ndiyo hiyo imeisha. Katika michezo(inabidi nitumie mfano huu) kila msimu ukiisha kuna tuzo mbali mbali wattu hupewa. Saa nyingine pia hata wale waliyo fanya vibaya wana kuwa na tuzo za ubaya. Je kwa awamu hii ya nne nani...

Most Valuable Player(MVP)- Mtu ambae amekua outstanding awamu hii na amefanya mengi mazuri.

Least Valuable Player(LVP)- Kiongozi aliye fanya ovyo kuliko wote.

Rookie- Mwanasiasa chipukizi au wa mara ya kwanza(awe mzee au kijana) ambae ame nga'ra na kuonyesha matumaini makubwa kwa Watanzania.

Most Improved- Mwanasiasa ambae amekuwepo kwa muda na kaonyesha kukua na kukomaa zaidi kisiasa.

Least Improved. Ambae ame dorora na kufanya vibaya zaidi

Biggest dissapointment- Huyu awe mtu ambae mengi yali tegemewa kutoka kwake lakini akaishia kutuangusha.

One to look out for- Huyu awe mwanasiasa ambae unategemea ata nga'ra sana kipindi kijacho. Iwe tayari ni kiongozi au ana tarajia kugombea uongozi.

Haya kamani wana JF kazi kwenu.
 
..wote wanaangukia kwenye category ya biggest disspointment.

..yaani kwa mwaka awamu hii hizi categories nyingine inabidi tuzifute kwasababu hakuna anaye-qualify.
 
Aliyekwambia awamu ya nne imekwisha nani?

Democratically mtu anapewa kipindi kimoja. Akishinda cha pili ndiyo awamu yake inaendelea. So far hauwezi kujua awamu ya nne itaendelea or not. Ikitokea JK asiwe raisi bado utaita awamu ya nne?
 
Ivi Awamu zilizo piata walikua wakina nani? tukumbushe kama wapo ili tu compare na wamu hii
 
MVP - Pombe Magufuli japo wizara yake haisikiki sana
Waliobaki; I agree with Joka Kuu, They are all Big Dissapointment Especially The Big Boss.
 
Back
Top Bottom