Tuzo ya Forbes Africa ni ya kweli watu wenye nia mbaya wanataka kupotosha

Rais Magufuli ni yule yule wa jana, leo na labda kesho kama Mungu akipenda.
Mabishano ya kipuuzi ya nini? Acha wafu (wanaokupinga) wazike wafu wao.
 
Nawaomba vijana wa kitanzania wawe wanafanya utafiti lwanza kabla ya ku comment vitu vya ajabu ajabu kama huyu anaye jiita Jericko Nyenyere.
 
Kwani mwaka juzi maraisi walikuwa wangapi? Kama sio mmoja tu rais wa nigeria?

Maximize your thinking ability.
Halafu unataka marais wawe wangapi?
wa lumumba washakanusha hiyo tuzo sio ya kweli sasa sijui una kipi cha kutueleza
 
Nawaomba vijana wa kitanzania wawe wanafanya utafiti lwanza kabla ya ku comment vitu vya ajabu ajabu kama huyu anaye jiita Jericko Nyenyere.
bro hivi huna kazi? kama huna kazi jiweke wazi manake kuanzia asubuhi umo tu humu! kwani hata kama hiyo tuzo ingekuwa ni ya kweli unafaidika nayo vipi wewe mpiga jaramba? kuwa na akili timamu watoto wako wasije kukuuliza baba ulifanya nini enzi za ujana wako! manake watu kama ninyi hamna akili kabisa
 
Nadhani wewe utakuwa hujielewi. Kama unasema tangu asubuhi nimo humu umejuaje?

Acha uzuzu.
 
Tatizo lako ni ufinyu wa exposure ndio inakusumbua.
Kwani shareholder hawezi kuajiriwa na kampuni?

Nimekupatia link ifuatilie acha kulia lia kama huna akili nzuri.
Jitahidi kujielimisha kidogo na uache uzuzu.

Unless LB7Bombandia wawe ni ma - share holders.

Hapo nakubaliana na wewe kwa 200%!!
 
Kama ambavyo lowasa anavyotetemesha vijana wote wa chadema, mkambadilisha kutoka fisadi kuwa malaika, njaa yenu ina kipimo gani?

Serikali ya com ndiyo inamuogopa lowassa ndiyo maana wamemkataza japo kuhutubia na kufanya mikutano
 
Nadhani wewe utakuwa hujielewi. Kama unasema tangu asubuhi nimo humu umejuaje?

Acha uzuzu.
mimi nimekukumbusha tu, jiandae kuulizwa na watoto wako kuwa enzi za ujana wako ulifanya nini! wenzio wenye akili sasa hivi wanashika viwanja wewe unakomaa na tuzo za JP, Utakula hiyo tuzo uzeeni.....

ni maoni tu
 
Ndugu kwa akili yako unadhani nipo sawa na wewe?
Sisi tuna kazi zetu ndugu na zinatuingizia vipato vya maana tu.

Hakika sipo tayari kuruhusu watu mbumbumbu kama wewe kupotosha jamii.
Mnapiga kelele na uongo unategemea tuwaache?

Ukijaribu kupotosha jamii mimi nitasema ukweli na kukuumbua.
 
Back
Top Bottom