Tuzo kwa Waandishi wa Habari TZ kwa maka 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuzo kwa Waandishi wa Habari TZ kwa maka 2010

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mathias Byabato, Mar 11, 2011.

 1. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 908
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Mchakato wa tuzo za waandisho bora kwa makundi tofauti na mwandishi bora wa jumla umeanza.Hivi sasa tuzo ya mwandishi bora kwa mwaka 2009 inashikiliwa na JERRY MURO wa TBC1

  Soma hii habari chini kutoka MCT website
  The competition for the Excellence in Journalism Awards Tanzania (EJAT) for 2010 has been finally launched.
  The organizing committee of nine partners led by the Media Council of Tanzania (MCT) laid out terms and conditions for vying for the awards which this time are in 17 categories.

  Speaking to journalists at the Maelezo auditorium in Dar e s Salaam today (March 10, 2011), the partners said entry forms for the EJAT competition is March 31 can be accessed on the MCT website , and are also available in media houses and for those in the regions can get them from the Union of Tanzania Press Clubs (UTPC).
  The successful winners will be feted at a grand ceremony to be held on World Press Freedom Day on May 3, this year in Dar es Salaam.

  The Executive Secretary of MCT, Kajubi Mukajanga said that judges for EJAT have already been appointed.

  He said entries for EJAT will be judged on their uniqueness, creativity, and research work, mastery of language, ethical reporting and balancing of story.
  He named the new categories as Best Cartoonist, Best Photo journalist, Best writer in Disability reporting, Best Telecommunication reporting and Best on science and technology reporting.

  Above all, Mukajanga said there will be an open category which will take care of other outstanding works which do not fall in the other categories.

  The other categories are; Good Governance, Gender, Economic and Business Sports, Environment, Health HIV and AIDS , Malaria , Education , Labor and working Relations, and Children Reporting

  All winners will be awarded certificates, trophies; prize and work equipment and the overall winner will in addition get a scholarship worth 4,000 USD.

  This is the second time the media partners hold the excellence award event. The first one which was called JOYAT was held in 2009.

  The organizing committee of EJAT consists of the Media Council of Tanzania (MCT), Tanzania sports Writers association (TASWA) Tanzania Media Women Association (TAMWA), HakiElimu, Association of Journalist Against Aids (AJAAT), and the Journalists Environmental Association of Tanzania (JET).

  Others are John Hopkins University, Media Institute of Southern Africa- Tanzania chapter (MISA-Tan), Media Owners Association (MOAT), Tanzania Media Fund (TMF) and the Tanzania Editors Forum (TEF).

  • Deadline for submission of entries set for March 31 and the D-day for crowning winners is May 3, 2011.
  Report by, Zanele Chiza
   
 2. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #2
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 908
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Majaji watajwa.

  Majaji wa kupitia kazi za washindani wa tuzo ya mwandishi ya mwaka 2010 ya Tanzania (EJAT) wameteuliwa.
  Aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la habari Tanzania, (MCT)., Anthony Ngaiza, ataongoza timu ya majaji tisa wa tuzo hiyo. Ngaiza ambaye anakuwa Jaji Mkuu alishika wadhifa huo katika tuzo za mwaka 2009 .

  Majaji watatu walioshiriki katika tuzo za 2009 - Elieshi Lema, Mzuri Issa, Attilio Tagalile – wameteuliwa tena kufanya kazi hiyo katika tuzo ya mwaka 2010 .

  Majaji wengine watano ni wapya. Majaji hao ni Salim Said Salim, Godfrey Mwampemba, Mwanzo Milinga. Wence Mushi na Profesa Mwajabu Possi.

  Kulingana na Meneja wa Programu wa MCT, Pili Mtambalike,majaji hao watapitia kazi hizo na kuteua washindi kati ya Aprili 4 na 8, mwaka huu.

  Siku ya mwisho ya kuwasilisha kazi kwa tuzo za EJAT ni Machi 31, mwaka huu ambapo washindi watapewa zawadi, tuzo, na vitendea kazi katika sherehe itakayofanyika Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Mei 3, mwaka huu.

  Mwaka huu kuna ngazi za tuzo 17 ikiwa ni ongezeko kutoka tuzo 11 za tuzo zilizotangulia

  Chanzo:Mct website
   
Loading...