Tuzo Kwa Mtanzania Aliyefanya Vyema

Jul 14, 2008
1,820
1,031
TPN kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali Tanzania inapenda kupata maoni ya namna gani ya kutoa TUZO maalumu kwa Mtanzania ambaye atakuwa ametoa mchango mkubwa katika jitihada za kuboresha maisha ya Mtanzania wa kawaida katika kipindi husika.

Hili ni moja ya madhumuni ya TPN.

Katika utafiti wetu wa awali kuna wadau ambao bila shaka wangependa kusaidia katika gharama za utayarishaji wa TUZO hiyo ambayo tunategemea itakuwa na thamani kubwa na inayoendana na mchango mtunzwaji ili kuwatia moyo wengine wafanye vizuri.

Maoni yatakayotolewa yanaweza kuwa katika maeneo yafuatayo:

  1. Jina la TUZO
  2. Atakayeikabidhi TUZO kwa Mshindi
  3. Vigezo vya ushindani na vya kupata mshindi
  4. Wanakamati/Waamuzi/Wadau watakaopitia maombi na kumchagua mshindi
  5. Utaratibu wa kupata mshindi/ Je anaweza kunyang'anywa TUZO?
  6. Sherehe za kuikabidhi TUZO
  7. Tuzo itolewe kila baada ya muda gani? na maoni Mengineyo

Maoni yote yatahaririwa na kisha kuwa na mchanganuo wa wazi ambao utakubalika na Watanzania walio wengi.

Naomba kutoa hoja!
 
SM,

Mimi nimefurahishwa na wazo, pia nimefurahishwa na uwasilishaji wako wa hoja. Lakini nina mapendekezo machache tu:

  1. Jina la TUZO = WALIOFANYA VEMA MWAKA HUU (Hapa napendekeza asiwe mmoja lakini angalieni katika nyanja mbalimbali, kuna waliofanya vema katika nyanja za habari, teknolojia ya habari, Siasa, Elimu, michezo, viwanda na biashara n.k... Ziwe categorized hizo zawadi. Isiwe moja lakini hata kama ni kutaja majina tu bila chochote bado hiyo ni heshima kubwa kwao)
  2. Atakayeikabidhi TUZO kwa Mshindi (Zawadi hizo zinaweza kutolewa nanyi TPN lakini mnaweza kumtafuta mtu special kama Rais wa Jamhuri au mtu yeyote ambaye mnadhani anafaa zaidi kuwa mgeni rasmi wakati wa utoaji wa zawadi hizo)
  3. Vigezo vya ushindani na vya kupata mshindi (Hapo nitagusia baadae...)
  4. Wanakamati/Waamuzi/Wadau watakaopitia maombi na kumchagua mshindi (Wapendekezwe kwanza kwa wadau mbalimbali kabla ya kuwaamini kwani judgements nyingi zimekuwa zikipigiwa kelele sana. Hapa ni pa kuangalia sana. Hii iwe ni kwa heshima ya taifa letu na inaweza kuwa chachu ya mabadiliko makubwa katika taifa letu!)
  5. Utaratibu wa kupata mshindi/ Je anaweza kunyang'anywa TUZO? (Certainly, mshindi akipatikana kutokana na waamuzi na watanzania kuridhia anaweza kunyang'anywa usoni endapo atashindwa kulinda credibility yake. Muhimu sana hili, ili wanaoshinda tuzo hii waendelee kuwa lulu ya taifa siku za usoni!)
  6. Sherehe za kuikabidhi TUZO [Mkuu, hapa nadhani kuwe na bonge la maandalizi. Isiwe lipualipua kama ilivyozoeleka. Wakati mnapofanya mambo haya msiwe kama "wao" kwa kuwadharau watumia mtandao. Hata kama mtu anapatikana JF na mnaona (mfano, Rev. Kishoka) anafaa kupewa tuzo kama mzalendo aliyelitumikia taifa bila kutoa ID yake basi wasiliana naye aweze kuridhia kujulikana (kama anataka) ili awe changamoto kwa wengine kuiga mfanowe. Sherehe hizo anaweza asihudhurie kama hajaridhia kujulikana lakini akamteua mjumbe kama Mnyika ambaye ninyi mwamfahamu akamchukulia zawadi yake (labda huyo Rev Kishoka yupo China hawezi kuhudhuria) lakini hata walio nje ya Tanzania wapewe nafasi ya kushiriki kwani itakuwa changamoto kwa wazalendo kadha wa kadha kulipigania taifa lao. Ikiwezekana wawezeshwe kurejea kwa ajili ya shughuli yenyewe ya utoaji wa tuzo ili kuongeza ladha ya tuzo hizo!]
  7. Tuzo itolewe kila baada ya muda gani? Binafsi napendekeza itolewe kila mwaka... Sijui wengine wanaonaje juu ya hilo!
Once again, Bravo for the idea!
 
Mkuu Robot . . . mchango ulioutoa uko very brief but to the point. Hakuna longolongo.

Kuna huyu Mkulu moja wa kampuni ya migodi (M-TZ) na wadau wengine ambao wako tayari Prize yake iwe na thamani sana ili kuleta maana hata kama ni Dhahabu. Mimi I was thinking something similar to NOBEL PRIZE, lakini baada ya kusoma maoni yako natambua kweli katika nchi kama yetu yenye changamoto nyingi, huenda ikawa busara kuongeza wigo wa TUZO. Issue itakuwa ni TUZO za namna gani wapewe.

Ngoja tuwasikie na wadau wengine. MWANAMALUNDI tunakusubiri . . .
 
TPN Bravo kwa hilo.

Mimi langu moja tu Jina a tuzo nadhani liitwe Edward Sokoine.

Naamini Nyerere ameshafnyiwa mengi lakini huyu bwana pamoja na kulifanyia taifa mambo makubwa na hata kupoteza uhai wake kwa kuwapenda watanzania basi tuzo hii ya kizalendo itafufua tena ari ya kizalendo si tu kwa wapokeaji tuzo bali jamii yote kwa ujumla.

Nawakilisha
 
nasapoti pia jina edward sokoine ili kuonyesha na kuinua ari ya uzalendo kwa wa tz kama alivyokuwa huyo bwana.jina nyerere tushatumia sana tutumie edward sokoine kuonyesha hatukuwa na kichwa kizalendo kimoja tz
 
TPN kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali Tanzania inapenda kupata maoni ya namna gani ya kutoa TUZO maalumu kwa Mtanzania ambaye atakuwa ametoa mchango mkubwa katika jitihada za kuboresha maisha ya Mtanzania wa kawaida katika kipindi husika.

Hili ni moja ya madhumuni ya TPN.

Katika utafiti wetu wa awali kuna wadau ambao bila shaka wangependa kusaidia katika gharama za utayarishaji wa TUZO hiyo ambayo tunategemea itakuwa na thamani kubwa na inayoendana na mchango mtunzwaji ili kuwatia moyo wengine wafanye vizuri.

Maoni yatakayotolewa yanaweza kuwa katika maeneo yafuatayo:

  1. Jina la TUZO
  2. Atakayeikabidhi TUZO kwa Mshindi
  3. Vigezo vya ushindani na vya kupata mshindi
  4. Wanakamati/Waamuzi/Wadau watakaopitia maombi na kumchagua mshindi
  5. Utaratibu wa kupata mshindi/ Je anaweza kunyang'anywa TUZO?
  6. Sherehe za kuikabidhi TUZO
  7. Tuzo itolewe kila baada ya muda gani? na maoni Mengineyo

Maoni yote yatahaririwa na kisha kuwa na mchanganuo wa wazi ambao utakubalika na Watanzania walio wengi.

Naomba kutoa hoja!

Good Idea TPN.. Hapo ndipo heshima yenu itakapojengeka sasa na vile vile inaweza ikatetereka mno kama mkifanyia mzaha..kama tuzo za kili time..hii kwa mbali naiona ndio tuzo itakao waamsha watanzania na makampuni mengi kupiga mzigo kwa bidii kwa manufaa ya taifa lao...watu wamelala wanatakiwa washtuliwe na vitu kama ivi...very goo but you must be very careful....ila kwa vile umelileta hapa jamvini ihope mtapata mawazo mengi na mazuri ili muweze kuboresha tuzo hiyo.....

Mnaanza kunivutia...let us wait
 
Nilikuwa nashauri TUZO zianze kutolewa bila kuyahusisha majina MAKUBWA ya Nchi yetu ili angalau tupate muda wa kutosha kuangalia michakato ya kuwapata hawa wanaopewa tuzo hizi kama inakidhi na inaendana na hadhi ya majina haya.
 
TPN Bravo kwa hilo.

Mimi langu moja tu Jina a tuzo nadhani liitwe Edward Sokoine.

Naamini Nyerere ameshafnyiwa mengi lakini huyu bwana pamoja na kulifanyia taifa mambo makubwa na hata kupoteza uhai wake kwa kuwapenda watanzania basi tuzo hii ya kizalendo itafufua tena ari ya kizalendo si tu kwa wapokeaji tuzo bali jamii yote kwa ujumla.

Nawakilisha

Bowbow umenikumbusha mbali sana na umenifanya nitafakari kwa kujiuliza Edward Moringe Sokoine alikuwa ni nani hasa . . . . Naelekea kuvutiwa na kushawishika na jina la TUZO . . .

http://www.ippmedia.com/ipp/guardian/2007/04/12/88230.html . . .

. . . . Edward Moringe Sokoine was then Prime Minister, and what a Prime Minister he was. He commanded and won respect from over 98 per cent of all Tanzanians.

He deservedly won the respect of the then President, the late Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Edward Moringe Sokoine was a darling to all patriots because he was a great patriot, to all honest people because he was the most honest man, to all hard working people because he was himself the epitome of hard work, to all practical people because he was a man of few words. He was action-oriented. He wanted to see things done and done now, not tomorrow.

But Edward Moringe Sokoine was a terror to majambazi (bandits) because he hated them like poison, he was poison itself to embezzlers; and saboteurs feared him like death.

He was no friend to lazy indecisive workers and managers alike. He was a man of the people, indeed . . . .

. . . . Because he was hard working, Mwalimu loved him. Those who had the opportunity to work with him told mourners at his funeral how many hours he was in his office and wondered whether he had any time for his family and private matters.

Because he was honest, Mwalimu trusted him with the management and administration of the government, and he passed with flying colours.

We were told no minister would take any issue to the President without consulting the Prime Minister first, and that Prime Minister was Edward Moringe Sokoine. He was, indeed, head of government. And the ministers respected him.

Sokoine was a darling of the people because he listened to them. He did not only sympathise with them, but he also fought hard to find solutions to their problems. One of the nagging problems in Dar es Salaam, for example, was and still is public and private transport . . . .

. . . It was Edward Moringe Sokoine, the Prime Minister (then) who allowed private minibuses (daladala), which were operating illegally, to operate officially.

These minibuses were charging five shillings per trip, no matter the distance in the city and the five shilling coin was nicknamed dala (I don�t know why), hence, daladala.

But then Sokoine directed that the vehicles ferrying people should be properly designed and the first vehicles to come out following the directive were named chai maharage (city people know why). He was a practical man. Daladala owners and Dar residents have a debt to pay to Sokoine. . . . .

. . . Before he was appointed Prime Minister, Sokoine excelled himself as Minister for Defence and National Service.

He served as Prime Minister for a time and resigned to attend to his health during which time he pursued studies in Bulgaria. When he came back he was appointed Prime Minister again, which showed Mwalimu�s trust and confidence in him.

Edward Moringe Sokoine was dismayed at the way the government was being run. It was the time when corruption and all sorts of vices were at their peak.

It was the time when a few young men and women went about with stacks of currency notes tucked under their socks because there was no room in their pockets, but the majority went about with half empty bellies.

Sokoine came to the people`s rescue. ``The government has not gone to sleep,`` he said and launched the all famous Operation economic saboteurs (oparesheni wahujumu uchumi).

It was hard to believe what we saw, huge stocks of various consumer goods, including huge sums of hard cash, were thrown away on the roadsides or dumped into the ocean. The name Sokoine meant terror to them.

One of the areas of his priority was agriculture; Sokoine had vowed to improve this sector to modern standards. He worked hard against the removal of government subsidies to farmers and peasants.

His reward was the establishment of a University of Agriculture in his name - Sokoine University of Agriculture (SUA).

Edward Moringe Sokoine was a soft spoken man and you could have mistaken him for a soft man. But his soft-spokenness was deceptive, because he meant every word that came out his mouth.

He was a man of his word and he made close follow ups to every directive he issued to ensure that it was carried out the way he wanted it.

A day before his death, he had promised people from his constituency, Monduli, who had gone to visit him during a Bunge session in Dodoma, that he would be in Monduli in two weeks time and that was when they should see him.

That was the one public promise he never fulfilled, because he died the following day when his car was involved in that fatal accident in Morogoro.

He surely must have made other promises and directives during the previous days or weeks, promises that he never fulfilled, and directives that might have died with him.

Sokoine`s death touched many a heart in Tanzania. But, apart from his family, I doubt if there was anyone more devastated by the sudden death of Edward Moringe Sokoine than Mwalimu Nyerere.

The only time I saw Mwalimu cry was at the death of Edward Moringe Sokoine. Those who did not see Mwalimu announcing the death of Sokoine, must have noticed the tremour in his voice.

Shall we ever have another Edward Moringe Sokoine in our country? Let us be guided by what he stood for and what he fought for. That is the best way to remember him.
 
nasapoti pia jina edward sokoine ili kuonyesha na kuinua ari ya uzalendo kwa wa tz kama alivyokuwa huyo bwana.jina nyerere tushatumia sana tutumie edward sokoine kuonyesha hatukuwa na kichwa kizalendo kimoja tz

Acknowledged . . . I like the idea kuwa TZ kulikuwa na vichwa vingine vya kizalendo. I wish Sokoine angekuwepo, huenda msamiati huu wa Mafisadi usingekuwepo na nchi pia ingekuwa mbali kimaendeleo.
 
Good Idea TPN.. Hapo ndipo heshima yenu itakapojengeka sasa na vile vile inaweza ikatetereka mno kama mkifanyia mzaha..kama tuzo za kili time..hii kwa mbali naiona ndio tuzo itakao waamsha watanzania na makampuni mengi kupiga mzigo kwa bidii kwa manufaa ya taifa lao...watu wamelala wanatakiwa washtuliwe na vitu kama ivi...very goo but you must be very careful....ila kwa vile umelileta hapa jamvini ihope mtapata mawazo mengi na mazuri ili muweze kuboresha tuzo hiyo.....

Mnaanza kunivutia...let us wait

Wakunyuti . . . asante kwa maoni. If you want the people to be with you, give them what they want. Sometimes to succeed in public issues you must involve the public as well. Ni matumaini yetu wote kwa kupitia vichwa vya JF, tutapata kitu ambacho kitakubalika na wote. Na daili zimeanza kuonekana . . .

Yote haya ni kwa faida yetu sote kama ulivyoelezea hapo juu.
 
Nilikuwa nashauri TUZO zianze kutolewa bila kuyahusisha majina MAKUBWA ya Nchi yetu ili angalau tupate muda wa kutosha kuangalia michakato ya kuwapata hawa wanaopewa tuzo hizi kama inakidhi na inaendana na hadhi ya majina haya.

Wildcard . . . naafikiana na wewe kwamba si lazima siku zote TUZO ziende kwa watu wakubwa tu. Kama kuna mtu amefanya kitu chochote kilicholeta impact katika maisha ya watu hata kama jamii husika ni ndogo, bila shaka anapaswa kutambuliwa. Kwa kufanya hivi kuna uwezekano pia wa kuibua watu wenye vipaji mbalimbali ambao wanaweza kutoa mchango mkubwa katika maendeleo ya nch yetu.

Changamoto tuliyonayo wote ni kuwa wabunifu tu katika kuweka vigezo vya washindi na pia kuwa makini kupata majaji wenye uadilifu wa hali ya juu na uzalendo wa kweli.
 
Good idea Msimbe
Napendekeza kategori za tuzo ziwe
1.Elimu
2.Teknolojia
3.Habari
4.Mazingira
5.Mjasiriamali
Kuhusu jina nafikiri Nyerere amepewa vitu vingi vya kumuenzi ingawa anajulikana sana duniani mi nakubaliana na jina la EDWARD SOKOINE

Inabidi mtafute watu ambao wanaheshimika sana ili wapewe jukumu la kusimamia hizo tuzo.Watoke kwenye vyombo vya habari,taasisi za kidini,vyuoni na taasisi binafsi
 
Edward Moringe Sokoine was a darling to all patriots because he was a great patriot, to all honest people because he was the most honest man, to all hard working people because he was himself the epitome of hard work, to all practical people because he was a man of few words.

He was action-oriented.
He wanted to see things done and done now, not tomorrow.

He was a man of his word and he made close follow ups to every directive he issued to ensure that it was carried out the way he wanted it.

Shall we ever have another Edward Moringe Sokoine in our country? Let us be guided by what he stood for and what he fought for. That is the best way to remember him.

this should be i ncluded in the theme of the prizes

I hope that this idea will take birth sometime soon.!!
 
Back
Top Bottom