Tuzipuuze hizi akili za bongo zozo kuhusu gonjwa la Corona

kaligopelelo

JF-Expert Member
Jun 20, 2013
2,760
3,937
Hawa mabeberu wanatamani hata Africa yote kusiwe na watu ili wageuze kuwa mashamba Yao. Sasa ipo haja ya kujitambua na kutofautiana nao kimtazamo tena waziwazi na kwa sirisiri pia. Huyu jamaa anadai amechoshwa na kelele za waandishi na watangazi kwa namna wavyotishia watu juu ya ugonjwa wa korona.

Yes anaona watu wasizuiliwe kutembea,yaani shughuli za kiuchumi ziendelee Kama kawaida,watalii wasizuiliwe pia. Sasaaa hiii akili mbovu, huyu anaweza kuwakilisha akili fikra mkajati za mabeberu kuhusu waafrika kupitia ujinga tulionao. Najua wapo wenye maono Kama huyu mtu humu ndani ila nakaribisha majadiliano.
 
Huo ndio uhuru wa maoni, ingawaje anaweza kuwa EMAISIX.
Yap ni Uhuru wa maoni, lakini sio kila mtoa maoni maoni yake yafanyiwe kazi. Mwingine anakushuri usifanikiwe na yupo atakae kushauri ili ufanikiwe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom