Tuzipinge mimba za UTOTONI.

Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
6,994
13,605
FB_IMG_1481902023440.jpg
FB_IMG_1481902016689.jpg
FB_IMG_1481902009742.jpg
FB_IMG_1481902004438.jpg
 
Nimeona mwembe sehemu nilichoka!yaani ule umebakwa na kunajisiwa haswa!umejaa mimba (maembe) kiasi kwamba mwenye shamba kayatandukia viroba yasichafuke kwa jinsi yanavyo garagara kama maboga na mwembe wenyewe kama ulipitia kuruka viunzi unauruka pasina shaka!
Tahadhari haya mambo wasituletee kwa binti zetu mara unakuta mtoto ana mika 5 unajiandaa kuitwa babu wataalam wamesha mpevusha mapema na mabazazi wameshafanya yao!
 
Back
Top Bottom