Tuyajadili mazuri ya Kikwete tangu alipo ingia lkulu 2005

Status
Not open for further replies.
1. Barabara za lami nyingi kuliko za awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
2. Shule za Sekondari nyingi kuliko za awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
3. Wanafunzi wa vyuo vikuu wengi kuliko wa awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
5. Waalimu wengi kuliko wa awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
6. Huduma ya afya na vifaa vya afya ni bora kuliko za awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
7. Watanzania wengi wana kazi kuliko awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
8. Viwanda ni vingi kuliko vya awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
9. Watalii ni wengi kipindi chake na kipato cha utalii ni kikubwa kuliko vya awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
10. Demokrasia ni bora na watu wana uwezo wa kusema wakipendacho kuliko awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
 
Kaweza kuwaunganisha Wapemba na Wazanzibari na kwa mara ya kwanza tumeona kura za Zanzibar zikipigwa kwa salama na amani.
 
thread ya kwanza iko wapi? Hii ni feki

Thread ni ileile isipokuwa posts za kutukana zote zimetolewa, Aidha muingie na kuchanga JF kistaarabu au posts zinafutwa na ban juu, ukirudia. Hii ndio JF tuitakayo. "Love it or Leave it".
 
Mh! Mazur anayajua mwenyewe bana kwa mimi nayajua mabaya yake na ccm tu
 
Kwa hiyo ukipitia hapa na kufunguwa macho unaweza kuyaona, ni mengi sana tu na hakuna mfanowe katika awamu zote zilizopita.
 
1. Barabara za lami nyingi kuliko za awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
2. Shule za Sekondari nyingi kuliko za awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
3. Wanafunzi wa vyuo vikuu wengi kuliko wa awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
5. Waalimu wengi kuliko wa awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
6. Huduma ya afya na vifaa vya afya ni bora kuliko za awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
7. Watanzania wengi wana kazi kuliko awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
8. Viwanda ni vingi kuliko vya awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
9. Watalii ni wengi kipindi chake na kipato cha utalii ni kikubwa kuliko vya awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
10. Demokrasia ni bora na watu wana uwezo wa kusema wakipendacho kuliko awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.

nilikuwa naambiwa tu sasa nimeamini , ulevi noooma
 
"amedondoka live kwenye majukwaa mara nyingi zaid kuliko viongoz wa awamu zote kwa ujumla.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom