Tuyajadili madhara ya kutumia wachunguzi wa kimataifa ndani ya Taifa huru kama Tanzania

Una siri gani wewe wakati mataifa makubwa kama China; Marekani; Urusi na nchi za ulaya pia huwatumia hawa wapelelezi inapobidi.

Ukiona technologia yako inafeli si dhambi kutumia ya mwenzako!!
Hawa ni wale wenye mawazo ya kutumia ungo wakidhani wana utaalumu kuliko wengine kuishia kudunguliwa kwenye anga za wengine tena wadunguaji wanamuacha hadi mchana kweupe ili aumbuke ni lazima tukubali kwamba tuko nyuma kitekinologia kila tukio hapa duniani lina naswa na satellite
 
Habari za wana JF
Mara nyingi kumekuwapo na watu wasioelewa masuala ya usalama wa nchi na Taifa kwa ujumla, na hii ipo mpaka kwa viongozi wakuu wa vyama mbali mbali,

Tunakili uzembe upo katika kuyashughulikia masuala ya uchunguzi wa matukio yanayoendelea nchini tena yanayotisha, lakin matokeo yake imekuwa tume juu ya tume ,uchunguzi juu ya uchunguzi tena imachukua mda mrefu sana bila kutoa majibu sahihi au saa nyingine kutotoa majibu kabisa,

Hivo saa nyingine tatizo linaweza kuwa si kwamba wameshindwa ila ni maagizo,

Sasa kutokana na hali hiyo watu wanakuwa wanaanza kukosa imani na baadhi ya vyombo vyetu vya uchunguzi,
Mpaka kufika hatua kuomba uchunguzi wakimataifa au mashirika toka nje ya nchi, ila tuweni makini na tujue madhara ya kutumia wachunguzi wa kimataifa

1. Wakija watalazimika kwa namna moja ama nyingine kushirikiana na vyombo vya ndani ambavyo itabidi vidisclose baadhi ya siri za nchi kama wapi tunatunza nini na kwanini eneo lile,

2. Pili Mara.nyingi wapelelezi wa kimataifa wapo kukamilisha kazi waliyo tumwa na mapebari, nayo ni kutengeneza mianya ya ku bdistabilize nchi wachote mali, international investigators
implements IMF structural adjustment programs. These programs, designed to promote international capitalist interests

3. Serikali za nchi husika mfano kama Tanzania uhofia wananchi wake ku loose confidence kwamba wao hawawezi,

4. Mbaya zaid wakija hawajulikani watamaliza uchunguzi lini, wanaweza kukaa hata miaka 4 wanasema tunachunguza kumbe wanafanya mambo yao, ambayo yanaweza kupelekea upandikizaji wa mamluki wa kimataifa katika sekta mbali mbali, pia kuweza kuhakikisha nafasi nyeti za nchi wanajua kila kitu na pengine kuhakikisha vibaraka wao wanakaa pale
Umesema ukweli kwa asilimia zote. Huu uwongo kwamba wageni wanakuja kutupeleleza hauna maana yoyote.

Mifumo yote ya komputa tunayotumia ni ya kwao,silaha zote za kivita tumenunua kwao,mbinu zote za askari wetu wametufundisha wao,leo wanakuja kuchunguza nini ktk mambo ya usalama?

Rais wa zamani Barak Obama alivyokuja hapa tulimwachia mpaka ikulu alinde yeye,leo mtu anakuja na hoja iso kichwa wala kiwiliwili anatuzingua?

Hoja ya Lema ni hii...waiteni wachunguzi huru wa kimataifa ili waje watuneshe mhusika wa haya matukio ya kihalifu ni nani. Msipofanya hivyo,watu wataendelea kuituhumu serikali yetu tukufu
 
Hayo mambo yote uliyoyasema wakitaka kuyafahamu kuhusu nchi yetu hawahitaji kuja wakiwa kwenye mwaliko wowote, wanaweza kuzipata kwa namna wanayojua wao, kwanza wana habari zaidi ya hizi ulizoainisha mkuu.

Tukubali tu kwamba kuna tatizo sehemu, lakini kuendelea kuja na hoja dhaifu kutoka kwa vyombo vyetu vyenye dhamana inatukatisha tamaa sana wananchi.
 
Habari za wana JF
Mara nyingi kumekuwapo na watu wasioelewa masuala ya usalama wa nchi na Taifa kwa ujumla, na hii ipo mpaka kwa viongozi wakuu wa vyama mbali mbali,

Tunakili uzembe upo katika kuyashughulikia masuala ya uchunguzi wa matukio yanayoendelea nchini tena yanayotisha, lakin matokeo yake imekuwa tume juu ya tume ,uchunguzi juu ya uchunguzi tena imachukua mda mrefu sana bila kutoa majibu sahihi au saa nyingine kutotoa majibu kabisa,

Hivo saa nyingine tatizo linaweza kuwa si kwamba wameshindwa ila ni maagizo,

Sasa kutokana na hali hiyo watu wanakuwa wanaanza kukosa imani na baadhi ya vyombo vyetu vya uchunguzi,
Mpaka kufika hatua kuomba uchunguzi wakimataifa au mashirika toka nje ya nchi, ila tuweni makini na tujue madhara ya kutumia wachunguzi wa kimataifa

1. Wakija watalazimika kwa namna moja ama nyingine kushirikiana na vyombo vya ndani ambavyo itabidi vidisclose baadhi ya siri za nchi kama wapi tunatunza nini na kwanini eneo lile,

2. Pili Mara.nyingi wapelelezi wa kimataifa wapo kukamilisha kazi waliyo tumwa na mapebari, nayo ni kutengeneza mianya ya ku bdistabilize nchi wachote mali, international investigators
implements IMF structural adjustment programs. These programs, designed to promote international capitalist interests

3. Serikali za nchi husika mfano kama Tanzania uhofia wananchi wake ku loose confidence kwamba wao hawawezi,

4. Mbaya zaid wakija hawajulikani watamaliza uchunguzi lini, wanaweza kukaa hata miaka 4 wanasema tunachunguza kumbe wanafanya mambo yao, ambayo yanaweza kupelekea upandikizaji wa mamluki wa kimataifa katika sekta mbali mbali, pia kuweza kuhakikisha nafasi nyeti za nchi wanajua kila kitu na pengine kuhakikisha vibaraka wao wanakaa pale
Mbili, eti kazi waliyotumwa na mabepari!!

Watanzania ndio wanataka uchunguzi wa nje! Na ndio watakaonufaika nantaarifa ya uchunguzi kumjua mbaya wetu!

"Mabepari"

Acheni ujinga na kutaka kujingisha watu!
Hivi kuna jambo gani au mbinu gani au chombo gani chakichunguzi ambacho hakitokani na hao ...mnao taka leo tusiwaite wafadhiri, wahisani...tuanze kuwaita "Mabepari" ??
 
Mkuu inaonekana bado unaishi karne ya 10.. Kuna vitu vingi hujui..!!

Nakuuliza swali moja mbona hujawahi kujiuliza kwa nini makampuni binafsi ya ulinzi yanalinda baadhi ya taasisi za serikalu...!? Ukielewa hili utaelewa na dunia tunayoishi sasa!!!

Juzi alikuja Bush lakini idara zote za ulinzi na usalama zilikuwa under control na wamarekani mbona hamkukataa...wanaweza kufanya chochote wanachotaka juu ya ulinzi na usalama wetu... Mbona linapokuja swala la kufanya uchunguzi wa watekaji mnakataa!!!!??

Kwa kwa kumalizia siku mkijiroga mkateka raia wa marekani ndio mtajua kama mna haki ya kuchunguzwa na watu wa nje au laa!! Watakuja hadi chumbani kwa jiwe na kufanya upekuzi.
 
Hoja hizo siyo za msingi hata kidogo. Aliyoyaandika zaidi ni hisia kuliko uhalisia.

Hivi kwa akili yako bado unaamini kwamba nchi za kiafrika zinakuwa distabilized na nchi za kibepari? Msipende kudanganywa na watawala kiurahisi kiasi hicho.

Marais madikteta wa kiafrika, watu wao wanapodai haki na uhuru zaidi, wao ndio huwa wanapenda kuyatumia maneno hayo kuwa wanaodai haki wanatumwa na mabepari, mabepari wanataka waibe rasilimali za Afrika, n.k.

Hata hao watawala wanapoyasema hayo wategemea watu wajinga wataaminiuwongo huo lakini cha ajabu hata wanaojua kusoma na kuandika, na kuna wakati unaona wamevaa suti kama vile watu wanaojitambua, nao wanadanganyika.

Ni nchi gani ya kibepari itaenda kuvuna rasimali ya nchi ambayo ipo kwenye vita? Wawekezaji wote wa kimataifa hawapendi kuwekeza wala kwenda kwenye nchi iliyopo kwenye vita. Lakini kwa up.umbavu tu watu wanaaminishwa na watawala kuwa machafuko kwenye mataifa ya Afrika yanaletwa na wazungu ili waje wavune rasilimali za Afrika! Ni up.umbavu mkubwa kupindukia.

Kuhusu suala la usalama, wote tunatakiwa tutambue kuwa mataifa haya ya Afrika, na hasa kwenye vyombo vya usalama, bado ni duni sana kiteknolojia na kiuzoefu. Mnapoyashirikisha mataifa yaliyoendelea katika masuala ya kiuchunguzi, ni nafasi pia ya kuvifunza vyombo vyetu vya ulinzi na usalama juu ya mbinu na teknolojia za kuutambua uhalifu na wahalifu.

Hivi mnaosema wamarekani au Waingereza wakija hapa eti watafahamu mifumo yetu ya usalama, mnadhani hata tukijificha kuna chochote wasichojua? Au wakiamua kutupiga, tutapigana nao hata kwa wiki moja?

Teknolojia za kisasa zimeyawezesha mataifa haya makubwa kujua kila kitu tulicho nacho ikiwa ni pamoja na uwezo wetu uwe wa kujilinda au kushambulia.

Sadam Hussein alikusanya kila aina ya silaha aliyodhani ni nzuri lakini mfumo wa mataifa haya makubwa haukumwezesha atumie hata silaha moja kubwa.

Dunia imebadilika sana. Leo hii Wamarekani wakitaka kuipiga ikulu yetu, siyo lazima wafike Ikulu au Dar es Salaam. Wanaweza kuachia guided missile hata wakiwa 500km na wakaipiga precisely kwa error isiyozidi hata 1cm.

Silaha tulizonazo na mifumo yetu ya usalama ni ya kujilinda dhidi ya Malawi, Zambia, Uganda, Burundi, Comoro, n.k. lakini siyo dhidi ya US, UK, France, Israel, Germany and the like.

Tusitafute visingizio vya kijinga. Tushirikiane na jamii ya kimataifa kutatua matatizo yetu huku tukipata nafasi ya kuvifunza vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Mbona hatukatai wanapokuja kutufundisha mbinu za kivita?
Unapoint
 
Kwahiyo haina madhara?
 
Mkuu inaonekana bado unaishi karne ya 10.. Kuna vitu vingi hujui..!!

Nakuuliza swali moja mbona hujawahi kujiuliza kwa nini makampuni binafsi ya ulinzi yanalinda baadhi ya taasisi za serikalu...!? Ukielewa hili utaelewa na dunia tunayoishi sasa!!!

Juzi alikuja Bush lakini idara zote za ulinzi na usalama zilikuwa under control na wamarekani mbona hamkukataa...wanaweza kufanya chochote wanachotaka juu ya ulinzi na usalama wetu... Mbona linapokuja swala la kufanya uchunguzi wa watekaji mnakataa!!!!??

Kwa kwa kumalizia siku mkijiroga mkateka raia wa marekani ndio mtajua kama mna haki ya kuchunguzwa na watu wa nje au laa!! Watakuja hadi chumbani kwa jiwe na kufanya upekuzi.
Wanakosea, Alafu usilinganishe makampuni ya ulinzi na idara makini za upelelezi
 
Wazungu wanajua kila kitu ndugu. Taifa halina jambo wala kitu chochote wasichokijua. Kila kitu kiko documented. Sema hatujafikia hatua ya kuwazuia wakitakacho.
 
Umesema ukweli kwa asilimia zote. Huu uwongo kwamba wageni wanakuja kutupeleleza hauna maana yoyote.

Mifumo yote ya komputa tunayotumia ni ya kwao,silaha zote za kivita tumenunua kwao,mbinu zote za askari wetu wametufundisha wao,leo wanakuja kuchunguza nini ktk mambo ya usalama?

Rais wa zamani Barak Obama alivyokuja hapa tulimwachia mpaka ikulu alinde yeye,leo mtu anakuja na hoja iso kichwa wala kiwiliwili anatuzingua?

Hoja ya Lema ni hii...waiteni wachunguzi huru wa kimataifa ili waje watuneshe mhusika wa haya matukio ya kihalifu ni nani. Msipofanya hivyo,watu wataendelea kuituhumu serikali yetu tukufu
Utukufu unautoa wapi wakati unajihusisha na dhambi?
 
Habari za wana JF
Mara nyingi kumekuwapo na watu wasioelewa masuala ya usalama wa nchi na Taifa kwa ujumla, na hii ipo mpaka kwa viongozi wakuu wa vyama mbali mbali,

Tunakili uzembe upo katika kuyashughulikia masuala ya uchunguzi wa matukio yanayoendelea nchini tena yanayotisha, lakin matokeo yake imekuwa tume juu ya tume ,uchunguzi juu ya uchunguzi tena imachukua mda mrefu sana bila kutoa majibu sahihi au saa nyingine kutotoa majibu kabisa,

Hivo saa nyingine tatizo linaweza kuwa si kwamba wameshindwa ila ni maagizo,

Sasa kutokana na hali hiyo watu wanakuwa wanaanza kukosa imani na baadhi ya vyombo vyetu vya uchunguzi,
Mpaka kufika hatua kuomba uchunguzi wakimataifa au mashirika toka nje ya nchi, ila tuweni makini na tujue madhara ya kutumia wachunguzi wa kimataifa

1. Wakija watalazimika kwa namna moja ama nyingine kushirikiana na vyombo vya ndani ambavyo itabidi vidisclose baadhi ya siri za nchi kama wapi tunatunza nini na kwanini eneo lile,

2. Pili Mara.nyingi wapelelezi wa kimataifa wapo kukamilisha kazi waliyo tumwa na mapebari, nayo ni kutengeneza mianya ya ku bdistabilize nchi wachote mali, international investigators
implements IMF structural adjustment programs. These programs, designed to promote international capitalist interests

3. Serikali za nchi husika mfano kama Tanzania uhofia wananchi wake ku loose confidence kwamba wao hawawezi,

4. Mbaya zaid wakija hawajulikani watamaliza uchunguzi lini, wanaweza kukaa hata miaka 4 wanasema tunachunguza kumbe wanafanya mambo yao, ambayo yanaweza kupelekea upandikizaji wa mamluki wa kimataifa katika sekta mbali mbali, pia kuweza kuhakikisha nafasi nyeti za nchi wanajua kila kitu na pengine kuhakikisha vibaraka wao wanakaa pale

Mkuu ni wewe britanicca au nimefananisha?
Duh!
So walipokuja mara ya Mwisho znz kule alipouliwa Padri ilikuwaje?
 
Mkuu umeikomalia hiyo 2018/04/26

Mkuu kwenye post yako namba moja, unaweza ukatuambia siri zilizovuja wachunguzi wa kimataifa walipokuja Znz kuchunguza mapadri kushambiliwa na tindikali? Au na ww umevurugwa na hiki kikundi kilichoko huku mitandaoni kimkakati kwamba kuna siri za nchi? Kuna siri gani nchi hii ambayo ikitakiwa na hao jamaa wataikosa? Ni eneo gani lenye siri za nchi hii hakuna matumizi ya internet, simu ba vifaa vingine vya hivyo? Ni kifaa gani cha ulinzi kama rada, vifaru nk vinavyotengenezwa Tanzania? Kitu pekee kinachotengenezwa na taasisi zetu za kimamlaka ambazo tunajifanya kuna siri na hao wazungu hawawezi kufikia ni hirizi za hao mastaff. Sasa kwa matumizi ya hivyo vitu kuna siri gani?
 
Kwamba CCM inaibaga kura
 
Lugola kasema ni salama

Huyo Lugola ni mchekeshaji tu wa mfalme hajui lolote linaendelea kwenye hii nchi. Ukitaka kuamini angalia ule mkwara mbuzi aliopiga kuhusu Lugumi na jamaa wa NIDA. Kamuulize leo nini kinaendelea hata kusikia swali hilo hataki. Angalia dressing code yake ndio utajua ufahamu wake unapogota.
 
Hata
 
Back
Top Bottom