Tuweni makini na wanasiasa

Invisble275

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
982
1,166
Amani iwe kwenu wanajamvi.
Nimekaa nikatafakari kinachoendelea hapa Tanzania na kwengineko duniani. Matatizo yanayoikumba dunia yanatokana na wanasiasa. Hasa wananchi tunapoanza kushabikia kila kitu wanachofanya wanasiasa hata kama tunajua kina madhara makubwa. Ni bora tukachukuwa tahadhari kabla hayajatufika kama yaliyofanywa wa wanasiasa wengine huko nyuma na kusababisha maafa makubwa kwa binadamu.

as.png
as.png
 
Back
Top Bottom