Tuwekeze zaidi kwenye kilimo, tutumie ardhi yetu na izalishe ajira

Mleta hoja...
tukisoma ...
Comoro, rely on imports from Tanzania to meet her food demands for about 70 per cent.
It imports rice, potatoes, vegetables, cement and other manufacturing products. Imports from Tanzania reached 172.39 million US dollars in 2016, accounting for 42 per cent of all imports, according to the United Nations COMTRADE database on international trade.

Other top import origins of Comoros China (48.3 million US dollars), the United Arab Emirates (46.6 million US dollars), France (40.7 million US dollars) and India (20.3 million US dollars).
Tanzanian traders living in the archipelago have been complaining over lack of reliable waterway transport between Dar es Salaam Port and Moroni, which leads to losses as goods are being damaged due to unreliable transport... Nukuu toka DailyNews gazeti la serikali Tanzania: Trade Opportunities in Comoro Go Begging

Pamoja ya fursa nzuri... kutokuwepo usafiri wa uhakika unapelekea Tanzania kupoteza soko either kwa hasara ya "goods" kuharibikia njiani au China, UAE, France na India...piga umbali toka hizo nchi mpaka Comoro. But wenzetu usafiri uko reliable. Uwepo wa soko is one thing na uhakika wa kufikisha mzigo soko kwa haraka pasi gharama kubwa ya usafiri is another thing very substantial
 
Ndugu zangu hata tukienda nchi za "mabeberu" nako kuna regulations tena nyingi tu.
Hakuna nchi isiyo na regulations.
Kimsingi namna gani tunatumia regulations in place to work in "farmers favor" ikiwa ni anaelima shambani, anaefanya processing and packaging au anae-export.

Ni namna gani kuna kuwa na urahisi wa kupata vibali vya biashara ya export baada ya kupata soko. Kwa anaefanya export anafanya processing na packaging kwenye ubora upi ambao unashindana na bidhaa toka duniani kote.

Pia serikali (wizara ya mambo ya nje, wizara ya fedha, wizara ya kilimo, wizara ya usafirishaji/uchukuzi) ina mkakati gani kwa kushirikiana na sekta binafsi, vyama vya ushirika ua kampuni za ubia kati ya serikali na sekta binafsi.
Soko la nje ukitoa Comoro ambako mwanabodi kaleta hoja lina uhitaji mkubwa sana wa vyakula sio kwa kg chache. Ni tani (quantity) za kutosha na kuwa na continuity, kwa kuzingatia ubora(quality)

Tanzania ikipata forex iwe kwa private au public maana yake wizara hizo hapo juu zinafaidika moja kwa moja.
Bank ya Kilimo na Bank ya uwekezaji, zimekaa mkao gani kuwa sehemu ya ushindi kwenye mchakato kuanzia mwanzo.'
Mifumo ya bank zetu anavizia biashara ishakuwa kubwa ambapo huenda akawa na access hata kukopesheka nje ya Tanzania, ndiyo maafisa mikopo wanakimbizana kutafuta mteja kumkopesha.

Kwanini toka mwanzo(drawing board) bank, bima, zikae na potential investors na ku-project tunakuza vip exports. Hata kabla ya commitment ya kutoa hela, kupata access ya watajwa hapo juu huwa sio jambo rahisi.

Ndiyo maana wakija wachina, indians au mabeberu ambao wako financed na nchi walizotoka wananunua mpaka udaga. Kwanini wasisubiri sisi tuwapekee unga hata kama ni udaga? Wakija na machine zao wakanunua udaga Tanga waka-process we remain with a small value ya lion share.

Tuna safari ndefu, yaweza kuwa fupi kama tunakaa chini kwa issues za maana including hii. Huwa navunjika moyo tuna doria ya wahalifu mitandaoni na mpaka sheria na jeshi lipo kwa uhalifu kama huo; ila hatujawahi kuwa na "doria", vetting, scouting ya innovators na creators of investment project. hapo ndipo sehemu ya kwanza tunapokwana
Tunakwama sana tu, hata wavuvi wa Mafia, Tanga, Dar na Mtwara wangekua na uhakika wa soko kama kampuni zile mfano wa chakula barafu zingenunua samaki na kupeleka Kigoma, Mwanza, Musoma na kwingine ambako ni mbali na bahari. Sasa hivi bado kuna watu wanasumbuliwa na magonjwa ya ukosefu wa iodine wakati mazao ya bahari yana madini haya.
 
Mleta hoja...
tukisoma ...
Comoro, rely on imports from Tanzania to meet her food demands for about 70 per cent.
It imports rice, potatoes, vegetables, cement and other manufacturing products. Imports from Tanzania reached 172.39 million US dollars in 2016, accounting for 42 per cent of all imports, according to the United Nations COMTRADE database on international trade.

Other top import origins of Comoros China (48.3 million US dollars), the United Arab Emirates (46.6 million US dollars), France (40.7 million US dollars) and India (20.3 million US dollars).
Tanzanian traders living in the archipelago have been complaining over lack of reliable waterway transport between Dar es Salaam Port and Moroni, which leads to losses as goods are being damaged due to unreliable transport... Nukuu toka DailyNews gazeti la serikali Tanzania: Trade Opportunities in Comoro Go Begging

Pamoja ya fursa nzuri... kutokuwepo usafiri wa uhakika unapelekea Tanzania kupoteza soko either kwa hasara ya "goods" kuharibikia njiani au China, UAE, France na India...piga umbali toka hizo nchi mpaka Comoro. But wenzetu usafiri uko reliable. Uwepo wa soko is one thing na uhakika wa kufikisha mzigo soko kwa haraka pasi gharama kubwa ya usafiri is another thing very substantial
Sasa kama tumeweza kununu ndege tunashindwaje kununua meli tena mbili za kusafirishia bidhaa nje! Ni kipaumbele tu.

Kampuni kama Gapex ilifanya kazi ya kuchukua mazao kwa wakulima na kusafirisha nje ya nchi tena. Tena magari ya Gapex yalifika mpaka vijijini.
 
Kilimo cha nini wakati mimi watoto wangu wana ajira, mimi silimi, bora ninunue ndege nipate teni pasenti kuliko kupeleka hela kwenye kilimo na maji halafu sipati chochote.
 
Enzi zile Zimbabwe inaitwa Rhodesia ilikuwa mzalishaji mkubwa wa mahindi, Rhodesia iliweza kuzalisha mahindi na kulisha Afrika yote hasa kukiwa na ukame.

Waliweza kufanya vile kwakua walowezi walilima kwa kutumia mashine, walikuwa na mashamba ya biashara. Jembe la mkono haliwezi kumkomboa mkulima kupata chakula chake na cha ziada kuuza ili aendeshe maisha na kufikia uchumi wa kati.

Ile kampuni ya zana za kilimo UFI pale Ubungo iliuza za na za kilimo kwa wakulima enzi za ujamaa. Kampuni kama zile zikirudishwa na kuuza zana za kilimo zilizoko sokoni kwa sasa kwa wananchi wa kawaida.

Vikoba itoe mikopo ya zana za kilimo ili vijana na wakina mama wajiajiri. 90% ya raia wanategemea kilimo cha jembe la mkono huu ni utumwa. Jembe la mkono lilimsaidia binadamu kutoka kwenye uwindaji. Wazungu walipotumia jembe la mkono walikua na nguvu kazi kubwa ya watumwa.

Soko la mazao ni changamoto nyingine. Wakulima wengi wamekata tamaa baada ya mazao wanayolima kukosa soko. Vyama vya ushikirika vipewe nguvu ya kutafuta masoko kama ilivyokua enzi za Tanzania Coffee Curing.

View attachment 1253520
Mfano tu, hili ni jembe la kupalilia, linatumia diesel na bei yake sokoni ni $50-150
Leo umeleta hoja kuntu,umejitofautisha na "makamanda".Hongera sana
 
Sasa kama tumeweza kununu ndege tunashindwaje kununua meli tena mbili za kusafirishia bidhaa nje! Ni kipaumbele tu.

Kampuni kama Gapex ilifanya kazi ya kuchukua mazao kwa wakulima na kusafirisha nje ya nchi tena. Tena magari ya Gapex yalifika mpaka vijijini.
Mimi sina ugomvi na mnunua ndege hata kidogo. Yuko sawa kama ana hela za kutosha na yet Wizara za kisekta hawajapeleka mpango mkakati (strategic business plan) kwenye kilimo, mifugo na uvuvi na kumshawishi kuwa urejeshaji wa uwekezaji (return on investment) iko promising kuliko ya ndege; bila shaka angefanya other-way round.

Waziri badala kukaa na wataalam wa wizara hata sisi wa kitaa na kuona namna gani soko la uhakika linafikika, baadhi ya mawaziri sio wote, wao wako busy na makatazo, wako busy na makongamano, wako busy na mambo ambayo baada ya muda ukipima matokeo huoni.

Mimi nakiri kwa ujasiri hapa, we have very few people who can view agribusiness/agri-economics inclusively by accommodating finance (mtaji au fedha ya operations), logistics (meli, ndege, road, rail means of delivery to the market), legal and marketing. Hapo ndipo tunapokwama.
 
Tunakwama sana tu, hata wavuvi wa Mafia, Tanga, Dar na Mtwara wangekua na uhakika wa soko kama kampuni zile mfano wa chakula barafu zingenunua samaki na kupeleka Kigoma, Mwanza, Musoma na kwingine ambako ni mbali na bahari. Sasa hivi bado kuna watu wanasumbuliwa na magonjwa ya ukosefu wa iodine wakati mazao ya bahari yana madini haya.
Wakala wa Samaki wewe utakuwa CEO watachimba mabwawa na kuhakikisha samaki wanapata chakula Bora na safi muda waote
 
Mimi sina ugomvi na mnunua ndege hata kidogo. Yuko sawa kama ana hela za kutosha na yet Wizara za kisekta hawajapeleka mpango mkakati (strategic business plan) kwenye kilimo, mifugo na uvuvi na kumshawishi kuwa urejeshaji wa uwekezaji (return on investment) iko promising kuliko ya ndege; bila shaka angefanya other-way round.

Waziri badala kukaa na wataalam wa wizara hata sisi wa kitaa na kuona namna gani soko la uhakika linafikika, baadhi ya mawaziri sio wote, wao wako busy na makatazo, wako busy na makongamano, wako busy na mambo ambayo baada ya muda ukipima matokeo huoni.

Mimi nakiri kwa ujasiri hapa, we have very few people who can view agribusiness/agri-economics inclusively by accommodating finance (mtaji au fedha ya operations), logistics (meli, ndege, road, rail means of delivery to the market), legal and marketing. Hapo ndipo tunapokwama.
Ninakumbuka miradi kama hii ili kuwepo Tanzania enzi za awamu ya kwanza. Ilizalisha ajira za kutosha. Tatizo ilikuwa chini ya serikali ya ujamaa, ilikosa uhamasisho na ushindani.
Hii miradi ikianzishwa ki biashara zaidi kutakuwa na uwajibikaji.
 
Bora kuchezea Mieleka usisahau walijenga viwanja
 
tukiacha ushabiki maandazi tukawa tunashauri serikali na wananchi kama hivi.jiwe hata jipiga kifua tena.

angalau leo umetumia uhuru wako wa kushauri bila mihemko.
 
Ninakumbuka miradi kama hii ili kuwepo Tanzania enzi za awamu ya kwanza. Ilizalisha ajira za kutosha. Tatizo ilikuwa chini ya serikali ya ujamaa, ilikosa uhamasisho na ushindani.
Hii miradi ikianzishwa ki biashara zaidi kutakuwa na uwajibikaji.
Madam umenena vyema sana.
Kuna tatizo watu kuungalia ujamaa (usoshalist) kama ni failure. Israel, Norway, Sweden, Slovenia ni nchi za kijamaa. Na ujamaa hata ubepari ukikosa leadership ni rahisi sana kuanguka.

Ujamaa ni simply kuwa na mifumo ya uzalishaji jumuishi. Ukiwa na good leadership lengo lake ni kuwa na innovators ambao kila mara wanafikiria what to be done ahead of time.

Fikiria tunalima korosho, choroko, dengu, ufuta, mbaazi, kahawa, just to mention a few, then soko tuna-rely kwa Indians, Chinese, Vietnamise? Tumekosa Mtanzania wa kutupa working model ambayo itafanya tu-maximize processing ifanyikie ndani? Watanzania najua wapo. Issue ni either hatujaamua kuwatumia na kuendelea ku-rely kwa middlen men toka Asia na hapo ndipo tunapokwama.

I know a few individuals, sio lazima waajiriwe serikalini ambao kama kungefanyika sort of collaborations ili kuongeza thamani ndani ya nchi ili kuongeza ajira, kupanua tax base, a lot could be accomplished.
Ila sasa, nani mwenye kufikiri nje ya box kwa ajili ya Watanzania. Very few people can stretch beyond their job description
 
Kuna Wasomali wengi waliokimbia wakati wa vita na sasa ndiyo wawekezaji wakubwa nchi ni kwao. Kwasababu wana uraia pacha imekuwa rahisi kupata mikopo kutoka nje.

Serikali inaweza kuwekeza kwa diaspora kama wataweka uraia pacha na kodi rafiki. Hata kama serikali kuwa na 40% ya share za kampuni.

Unapoongelea ujamaa unahitaji discipline ya hali ya juu. Kizazi kilichokuwa na ari ya ujamaa kimepotea. Urusi baada ya ujamaa kuvunjika wale viongozi wakuu waliokuwa na dhamana na mali ya serikali wamejimilikisha na sasa ndiyo matajiri wakubwa.
 
John Maxwell one of the leadership trainers anasema ...
The higher you want to climb (in agribusiness/agri-economics), the more you need leadership. The greater the impact you want to make, the greater your influence needs to be.
 
NIKIKUWARAIS NITAKUTUMIA

#tag HUJUI KUPLAN 🚜🚜🚜🚜🚒

#tag Gari inagurudumu 4 kwenye maisha ya kuplan

1. Matumizi Bora ya ardhi (maeneo maalumu ya Kilimo, UVUVI, Mifugo maana IPO siku tutatafuta maekali ya kupima matikiti Dar ES SALAMA na siyo pwani lazima tubomoe majumba huko)

2. Matumizi Bora ya Watu (watu waliopo Kwa mujibu wa Takwimu sahihi na projection mtakuwa wangapi 2456 🚲🚲 watakao kufa kumbuka ardhi siyo kuzika katikati maana IPO siku makabuli hayana MAANA)

3. Masoko ya Bidhaa (Kwa uhalisia huwezi zalisha kila kitu Kwa serikali zasizojali hela unatakiwa Kuzalisha Sana kama inavyozalisha wanafunzi vyuoni bila kuzingatia soko la Akira ikiwezekana kuwa donor country ya Bidhaa)

4. Nationality (kuwa zombie la mipango ya nchi matharani Reli ya Mwendokasi yalazima ichangamshe uzalishaji Kwa kuzingatia gurudumu mamba 1 ili kuwe na value for money Kwa miradi husika utasafirisha watu wanaosafirisha mbuzi + kugonga ngombe wanaohamahama)

Tanzania tuna ng'ombe wengi kuliko Kenya.
Tanzania tunauza ng'ombe Kenya.
Then Tanzania tuna import sausage toka Kenya.

Achilia mbali kama tukitafuta soko la Oman la Sausage
oz 16 za Sausage sawa na 0.45kg ni sawa na takribani TZS95,000
kama tukitafuta soko kama Taifa lenye ng'ombe na kupata brand franchasing say nusu kilo ikauzwa kwa sh.50,000 wao wakauza 95,000 ambapo wakachukua na fee yao ya jina. How much could we get??
Badala ya kujadili haya, tuna focus siju wapi. Tunakwama wapi Watanzania??
 
Ukiangalia kwa umakini vijana wengi wanaomaliza degree zao na kutumia ujuzi wao katika uzalishaji ni wale ambao hawakua wanadesa.

Vijana wanakosa elimu na mitaji. Viwanda kama hivi na bidhaa nyingine zingezalisha ajira sana Tanzania
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom