Tuwekeze zaidi kwenye kilimo, tutumie ardhi yetu na izalishe ajira

Enzi zile Zimbabwe inaitwa Rhodesia ilikuwa mzalishaji mkubwa wa mahindi, Rhodesia iliweza kuzalisha mahindi na kulisha Afrika yote hasa kukiwa na ukame.

Waliweza kufanya vile kwakua walowezi walilima kwa kutumia mashine, walikuwa na mashamba ya biashara. Jembe la mkono haliwezi kumkomboa mkulima kupata chakula chake na cha ziada kuuza ili aendeshe maisha na kufikia uchumi wa kati.

Ile kampuni ya zana za kilimo UFI pale Ubungo iliuza za na za kilimo kwa wakulima enzi za ujamaa. Kampuni kama zile zikirudishwa na kuuza zana za kilimo zilizoko sokoni kwa sasa kwa wananchi wa kawaida.

Vikoba itoe mikopo ya zana za kilimo ili vijana na wakina mama wajiajiri. 90% ya raia wanategemea kilimo cha jembe la mkono huu ni utumwa. Jembe la mkono lilimsaidia binadamu kutoka kwenye uwindaji. Wazungu walipotumia jembe la mkono walikua na nguvu kazi kubwa ya watumwa.

Soko la mazao ni changamoto nyingine. Wakulima wengi wamekata tamaa baada ya mazao wanayolima kukosa soko. Vyama vya ushikirika vipewe nguvu ya kutafuta masoko kama ilivyokua enzi za Tanzania Coffee Curing.

View attachment 1253520
Mfano tu, hili ni jembe la kupalilia, linatumia diesel na bei yake sokoni ni $50-150

Maandishi kama haya yanaweza kuponya badala ya kuangamiza
 
Ndugu zangu hata tukienda nchi za "mabeberu" nako kuna regulations tena nyingi tu.
Hakuna nchi isiyo na regulations.
Kimsingi namna gani tunatumia regulations in place to work in "farmers favor" ikiwa ni anaelima shambani, anaefanya processing and packaging au anae-export.

Ni namna gani kuna kuwa na urahisi wa kupata vibali vya biashara ya export baada ya kupata soko. Kwa anaefanya export anafanya processing na packaging kwenye ubora upi ambao unashindana na bidhaa toka duniani kote.

Pia serikali (wizara ya mambo ya nje, wizara ya fedha, wizara ya kilimo, wizara ya usafirishaji/uchukuzi) ina mkakati gani kwa kushirikiana na sekta binafsi, vyama vya ushirika ua kampuni za ubia kati ya serikali na sekta binafsi.
Soko la nje ukitoa Comoro ambako mwanabodi kaleta hoja lina uhitaji mkubwa sana wa vyakula sio kwa kg chache. Ni tani (quantity) za kutosha na kuwa na continuity, kwa kuzingatia ubora(quality)

Tanzania ikipata forex iwe kwa private au public maana yake wizara hizo hapo juu zinafaidika moja kwa moja.
Bank ya Kilimo na Bank ya uwekezaji, zimekaa mkao gani kuwa sehemu ya ushindi kwenye mchakato kuanzia mwanzo.'
Mifumo ya bank zetu anavizia biashara ishakuwa kubwa ambapo huenda akawa na access hata kukopesheka nje ya Tanzania, ndiyo maafisa mikopo wanakimbizana kutafuta mteja kumkopesha.

Kwanini toka mwanzo(drawing board) bank, bima, zikae na potential investors na ku-project tunakuza vip exports. Hata kabla ya commitment ya kutoa hela, kupata access ya watajwa hapo juu huwa sio jambo rahisi.

Ndiyo maana wakija wachina, indians au mabeberu ambao wako financed na nchi walizotoka wananunua mpaka udaga. Kwanini wasisubiri sisi tuwapekee unga hata kama ni udaga? Wakija na machine zao wakanunua udaga Tanga waka-process we remain with a small value ya lion share.

Tuna safari ndefu, yaweza kuwa fupi kama tunakaa chini kwa issues za maana including hii. Huwa navunjika moyo tuna doria ya wahalifu mitandaoni na mpaka sheria na jeshi lipo kwa uhalifu kama huo; ila hatujawahi kuwa na "doria", vetting, scouting ya innovators na creators of investment project. hapo ndipo sehemu ya kwanza tunapokwana
Restrictions wameweka kwenye mahindi wakati Wakenya wanakuja na malori kununua mananasi Chalinze na chini kabisa kabla ya mananasi wanaweka magunia ya mahindi.
 
Umeongea kitu Safi kabisa mkuu!. Natamani kama wahusika waone ujumbe wako 👏👏
 
Enzi zile Zimbabwe inaitwa Rhodesia ilikuwa mzalishaji mkubwa wa mahindi, Rhodesia iliweza kuzalisha mahindi na kulisha Afrika yote hasa kukiwa na ukame.

Waliweza kufanya vile kwakua walowezi walilima kwa kutumia mashine, walikuwa na mashamba ya biashara. Jembe la mkono haliwezi kumkomboa mkulima kupata chakula chake na cha ziada kuuza ili aendeshe maisha na kufikia uchumi wa kati.

Ile kampuni ya zana za kilimo UFI pale Ubungo iliuza za na za kilimo kwa wakulima enzi za ujamaa. Kampuni kama zile zikirudishwa na kuuza zana za kilimo zilizoko sokoni kwa sasa kwa wananchi wa kawaida.

Vikoba itoe mikopo ya zana za kilimo ili vijana na wakina mama wajiajiri. 90% ya raia wanategemea kilimo cha jembe la mkono huu ni utumwa. Jembe la mkono lilimsaidia binadamu kutoka kwenye uwindaji. Wazungu walipotumia jembe la mkono walikua na nguvu kazi kubwa ya watumwa.

Soko la mazao ni changamoto nyingine. Wakulima wengi wamekata tamaa baada ya mazao wanayolima kukosa soko. Vyama vya ushikirika vipewe nguvu ya kutafuta masoko kama ilivyokua enzi za Tanzania Coffee Curing.

View attachment 1253520
Mfano tu, hili ni jembe la kupalilia, linatumia diesel na bei yake sokoni ni $50-150
Umenena vyema
Mwl alisema kilimo ni uti wa mgongo nimefanikiwa kumuelewa
Watawala wetu wangehamasisha na kussuport wakulima Tz ingekuwa na maendeleo kuzidi
Kilimo cha mazao ya biashara mkonge pamba kahawa korosho mbao chai bado yana uhitaji mkubwa duniani.
Mazao ya chakula yangetukwamua kwenye kuagiza sukari mchele mahindi nk toka nje
Rudisheni vyama vya ushirika

Watawala wateuliwa waliochaguliwa ndio wanaliumiza hili Taifa left right n center
 
Elimu kabla ya kila kitu...!!
Elimu Bora... Teknolojia maridhawa ndo daraja la kututoa hapa tulipo!!
Haya mengine tunajidanganya tu...!!
 
Enzi zile Zimbabwe inaitwa Rhodesia ilikuwa mzalishaji mkubwa wa mahindi, Rhodesia iliweza kuzalisha mahindi na kulisha Afrika yote hasa kukiwa na ukame.

Waliweza kufanya vile kwakua walowezi walilima kwa kutumia mashine, walikuwa na mashamba ya biashara. Jembe la mkono haliwezi kumkomboa mkulima kupata chakula chake na cha ziada kuuza ili aendeshe maisha na kufikia uchumi wa kati.

Ile kampuni ya zana za kilimo UFI pale Ubungo iliuza za na za kilimo kwa wakulima enzi za ujamaa. Kampuni kama zile zikirudishwa na kuuza zana za kilimo zilizoko sokoni kwa sasa kwa wananchi wa kawaida.

Vikoba itoe mikopo ya zana za kilimo ili vijana na wakina mama wajiajiri. 90% ya raia wanategemea kilimo cha jembe la mkono huu ni utumwa. Jembe la mkono lilimsaidia binadamu kutoka kwenye uwindaji. Wazungu walipotumia jembe la mkono walikua na nguvu kazi kubwa ya watumwa.

Soko la mazao ni changamoto nyingine. Wakulima wengi wamekata tamaa baada ya mazao wanayolima kukosa soko. Vyama vya ushikirika vipewe nguvu ya kutafuta masoko kama ilivyokua enzi za Tanzania Coffee Curing.

View attachment 1253520
Mfano tu, hili ni jembe la kupalilia, linatumia diesel na bei yake sokoni ni $50-150
Nashauri Ulichovuta leo uvute kila siku.
 
Juzi tulikuwa mjadala wa kukuza biashara ya mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi.

Canada wamerejesha fursa ya exports ya kitimoto na nyama ya ng'ombe.

Bado soko linadai. Tunajipangaje kulifikia hilu soko kwa pamoja?

Mawaziri wa kisekta tukijumuisha fedha, viwanda, uwekezaji na uchukuzi wana mkakati wowote hata wa kukaa kufukiria how do we get on-board.

Bank ya kilimo na bank ya uwekezaji; fursa hii tunaichungulia kama deal ya kukuza uwekezaji kwenye kusindika nyama???
 
Back
Top Bottom