Tuwekeze Vipi Nyumbani?.

houseboy

Member
Jul 22, 2007
39
3
Mh.Rais Kikwete amewataka Wabongo kukumbuka nyumbani kwa kuwekeza,aliyasema hayo alipokuwa anaongea na wabongo waishio France,na kila anapokutana na wabongo ughaibuni.watallamu wa uchumi wanatuambia kuwekeza Africa ni risk kubwa sana lakini kuna profit kubwa sana kama utafanikiwa %100 na ndio maana wajanja wenye mitaji mikubwa wanaingia Africa
Kitu cha kushangaza sijaona jitihada zozote zile za kuwafanya wabongo tuwekeze,siku nyingine atakapoongea na watanzania tunamuomba atupe maelezo ni jinsi gani tutawekeza na uongozi wake umefanya mkakati gani kutuwekea mazingira ya kuwekeza nyumbani mfano ili kupata watalii kwa wingi uongozi wake umetoa fedha kuitangaza bongo na kila ukienda sehemu yoyote USA ukisema unatokea kwa BIMKUBWA wanasema tumeiona nchi yako CNN,Nasi tulioko ughaibuni tunaweza kupata chachu kama hiyo?.data zinaonyesha watu wanatuma fedha zaidi ya milioni saba usd kila mwaka Africa ya mashaliki.watu wa ughaibuni mko tayari au ndio hivyo tushafika tena kwenye nnchi tunazoishi.
 
Haya ni maswali ambayo nafikiri watu wa TIC wanatakiwa wajibu ktk website yao................ngoja nii-check
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom