Tuweke rekodi sawa majina yenu mlijipa wenyewe. Haji Manara is taking you for a ride

Mods futeni hii takataka haifai kuwepo mbele yetu wanasoka
Huyo anayeitaga watu kilo 800, kuchekelea ajali ya yanga ndiye anayefaa siyo? Huyu hapa anayelialia kwamba Bumbuli siyo mtu mzuri baada ya kulalamikiwa kushangilia ajali mbaya ya yanga ndiye mwanamichezo siyo?
INASHANGAZA SANA KWA KWELI: HUYU MTU AKIDHALILISHA WATU MNAFURAHI SANA NA KUMUONA HERO, yeye akiguswa ni dhambi kabisaaaaaaaaaa

voicenote.jpeg
 
View attachment 1909488
hii sisi wana yanga hatuioni tuna mahaba na manara katutia upofu hatuoni ubaya wake aliotufanyia tume focus kuangalia kauli zakebehi kwake dhidi ya simba
 
Mi naona busara kuachana nae tusimjibu tena
Majibu yetu yatoke na mafanikio ya uwanjani
 
Usimshambulie mtu kwa ulemavu wake

bado amebarikiwa vizuri tu na muumba

Mimi ni Simba damu lakini sipendi unapotaka kuingiza karama za muumba kwenye kumshamhulia mtu

hujafa hujaumbika
...Umesema vyema ndugu. Hakuna mlemavu aliyeomba hali hiyo..Anayekupa wewe uzima ndo aliyempa mwingine ulemavu. Hujafa, hujaumbika
 
Kuna klabu Chile inaitwa Colo-colo naona inataka kufanania na makorokoro🤣
1200px-Colo-Colo.svg.png
 
Halishtui hilo makolokolo sijui makorokoro maana ni kama tuu pilau ili inoge inajazwa makorokoro ya kila aina so its just a nice name. Simbaaaaaaaa Taifa kubwaaaa
 
Mr Mashaka a.k.a general Uto alisema maana ya neno Utopolo kwa kihehe ni kitu cha ajabuajabu kilicholegea kama mlenda hakika utopolo ushakuwa msemo maarufu sana karibu unaingia rasmi kwenye kamusi
Google wanatambua utopolo na Yanga ki kama chanda na pete, Yanga ni utopolo na Utopolo ni Yanga🐒
 
Back
Top Bottom