Tuwe wazalendo wa kweli twende tukapige kura. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuwe wazalendo wa kweli twende tukapige kura.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Amaniel, Oct 27, 2010.

 1. A

  Amaniel New Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Historia inaonyesha watu wengi wamekuwa wakijihusisha na ushabiki wakati wa kampeni lakini inapofika kwenye kufanya kweli (yaani kupiga kura) kila mmoja anakuwa na mtazamo tofauti.
  Inatia moyo kuona wanajamii na watanzania wengi wameanza kuelewa umuhimu wa kupiga kura. Ninawaomba wanajamii wenzangu tuwe mstari wa mbele ifikapo tarehe 31October, kwani waswahili wanasema maneno matupu hayavunji mfupa.
  TWENDE TUKAPIGE KURA TUWAHAMASISHE NA WENGINE, PIA TUSISAHAU KUWA MABADILIKO NI MUHIMU, KWANI MAJARIBIO NA UVUMILIVU TULIOUONYESHA KWA MIAKA 49 SASA YATOSHA.
  :israel:peoplez!!!!!!!
   
 2. S

  Subira Senior Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kwelikabisaniuzalendokwendkupiga kura kuchagua viongozi wetu tunaoamini wanatufaa, ila" miaka49 yatosha" si kweli unajuaje hiyo "peoplez" itachukua muda gani kutimiza ahadi zake na isitoshe ikiwa ndo kwanza inaanza maana haitoweza kugusa mali za ccm
   
Loading...