Uzalendo
Uzalendo (patriotism )ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake kwa msingi wa kabila, utamaduni, siasa au historia. Inakaribiana sana na Utaifa.Uzalendo ukizidi kiasi cha kulitetea taifa huitwa uzalendo kipofu au uzalendo bubu.
Tujiulize mioyoni mwetu ni kwa kiwango gani hali ya kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajiri ya nchi yetu inatawala mioyoni Mwetu? Kunawakati ambapo Nchi inakabiliwa na matishio au migogoro aidha ya kiuchumi, kisiasa au kidiplomasia dhidi ya mataifa mengine, jambo la kushangaza watanzania wengi wanashangilia na kuungana na maadui wa nchi kushabikia mgogoro husika, hapana huu sio uzalendo hata kidogo badala yake inatakiwa wote kwa pamoja bila kujali itikadi za dini, kabila wala vyama vyetu vya siasa tunaungana pamoja kupigania nchi yetu. Baada ya kuhakikisha inchi iko salama ndio tunaanza kukamatana mwizi , tukifanya hivyo hata kiongozi ambae tunasema ashauriki hakika nakuambia atakusikiliza hoja zako kwakuwa alikuona ukimsaidia wakati akiwa katika vita husika.
Naomba watanzania tuamshe hali yetu ya Uzalendo kwa nchi yetu kwa mslahi Mapana ya Taifa letu mama Tanzania “in Mbatia ‘s Voice”
#UzalendoKwanza
#ChangeTanzania
#OperetionKorosho