Tuwe watulivu


B

Bongokid

Member
Joined
Nov 14, 2007
Messages
53
Likes
2
Points
15
B

Bongokid

Member
Joined Nov 14, 2007
53 2 15
Wana jamii,
This election is very emotional... people's hopes are pegged on this election. Hofu kubwa ni uchakachuaji wa matokeo. I know there is something we can do about that. Lakini sidhani kama tutaweza kuwa effective in tackling uchakachuliwaji wa matokeo kwa kuwa emotional.
- Tuna macho kila mahali
- Tuna uwezo wa kitechnolojia
- na tuna NIA ya kuzuia uchakachuaji na Kupigania haki.

Naamini huu ni mtaji wa kutosha kukabili ufisadi wowote utakaotokea.

Hoja yangu ni: Pamoja na mategemeo na mapenzi yetu... lets approach matokeo with an open mind.
It is normal for our unmet expectations to result on to frustration. BUT lets strive to be calm na kutafuta HAKI kwa kutumia akili na mikakati ya uhakika.
 
Bhbm

Bhbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
716
Likes
21
Points
35
Bhbm

Bhbm

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
716 21 35
Ni kweli ndugu lakini ujue kila kitu kina mwisho wake, watanzania wamekuwa watulivu kwa miaka mingi japokuwa wanajua kuwa wanaibiwa, na ccm inataka kutumia utulivu wa mara kwa mara wa watanzania kama mtaji wa kuwaburuza.
 

Forum statistics

Threads 1,261,944
Members 485,429
Posts 30,110,144