Tuwe wakweli:unga wapotea mtaani..mateja wapigwa Na arosto

wakusoma

JF-Expert Member
Feb 25, 2008
1,085
1,059
Kusema kweli..katika uchunguzi wangu wa vituo vya mateja mkoa wa darisalamaa..mateja wana hali mbayaaa..


Unga umekuwa adimu Sana..juzi nikasikia wanasema wanaupata kigogo ila kwa bei juu.

Hongera mkuu wa mkoa..imesaidia Sana ingawa watu wanaweza wasione Kama imeleta impact.

Ila kwa kuwa utafiti hupingwa kwa utafiti..natumai mtanipinga kwa utafiti.
 
Wewe umejuaje kama umepotea? Mimi kibinafsi hiwa nauonaga kwenye kideo tu. Wewe huwa unauona wapi? Na huwa unauona kama mnunuaji au muuzaji?
 
Back
Top Bottom