Tuwe wakweli kwa alichokisema Maalim Seif,

Mahweso

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,098
1,501
Alisema amekusanya form zote za matokeo zinamwonyesha anakura ngapi, kama alivyo Fanya Makamba, kusema wanaongoza majimbo 176 kama sikosei, sasa kosa ni nini ? Au mlitaka kubadiri matokeo?
 
Alisema amekusanya form zote za matokeo zinamwonyesha anakura ngapi, kama alivyo Fanya Makamba, kusema wanaongoza majimbo 176 kama sikosei, sasa kosa ni nini ? Au mlitaka kubadiri matokeo?

Usipotoshe makamba hajataja kura za uraisi anetaja viti vya ubunge ambavyo kishetia hajakiuka chochote,huyo zuzu wenu amevunja sheria
 
viongozi wa CCM wako juu ya sheria; kituo cha kujumlishia kinachosemekana kiko mlimani city mbona polisi hawakukivamia na kukamata waliomo?
 
Usipotoshe makamba hajataja kura za uraisi anetaja viti vya ubunge ambavyo kishetia hajakiuka chochote,huyo zuzu wenu amevunja sheria

Wewe ndio zuzu, kwani Makamba anaruhusiwa kutangaza matokeo yoyote? Haya Chadema nao wakinyanyuka kusema yao maana nao wamekusanya itakuwaje? Acha uzuzu msione nchi lama yenu hii
 
Badala ya kukazanaia kuwa Maalim amekiuka sheria, Dr Shein anatakiwa ampigie simu ya kumpongeza kwa ushindi biashara iishe, msituletee balaa.
 
viongozi wa CCM wako juu ya sheria; kituo cha kujumlishia kinachosemekana kiko mlimani city mbona polisi hawakukivamia na kukamata waliomo?

Kura unajumlisha na wageni kutoka kenya, rwanda, france?????? Mna mkakati gani???
 
viongozi wa CCM wako juu ya sheria; kituo cha kujumlishia kinachosemekana kiko mlimani city mbona polisi hawakukivamia na kukamata waliomo?

Tatizo sio kua na mdomo.Tatizo ni huo mdomo wako ulionao unalopoka nini.Ukilopoka matusi utashughulikiwa tu bila kujali wangapi wanamidomo.Na husije kudai unaonewa.
 
Usipotoshe makamba hajataja kura za uraisi anetaja viti vya ubunge ambavyo kishetia hajakiuka chochote,huyo zuzu wenu amevunja sheria

Je Makamba alijuaje kuwa Magufuli atashinda na ikiwa matokeo ya jumla bado pale aliposema kuwa Magufuli ataapishwa tarehe 29/10????

Kila chama miaka yote ya uchaguzi huwa wana kusanya matokeo kia kituo. Huwa wanajua kabla ya kutangazwa na ndio maana wagombea wanakubali kusaini matokeo kwa sababu wanakuwa na uhakika.

Hawakurupuki sasa leo cha ajabu nini hata kufikia kuwakamata wale vijana wa Bara??? Isipokuwa Makamba na timu yake ni sawa kupata taarifa mapema
 
Kura unajumlisha na wageni kutoka kenya, rwanda, france?????? Mna mkakati gani???

Loyalty .....watanzania wengi hawaaminiki bora hawa nyie double tree mna WINGERIA na UPANGA WACHINA WALIOPEWA GESI YA MTWARA
 
Sauti ya kisonge
 
Attachments

  • 1445934981005.jpg
    1445934981005.jpg
    34.4 KB · Views: 98
Usipotoshe makamba hajataja kura za uraisi anetaja viti vya ubunge ambavyo kishetia hajakiuka chochote,huyo zuzu wenu amevunja sheria

Utamitaje Zuzu mtu mzima na kiongozi wa nchi, nikisema hujapata malezi itakuwa nawatukana wazee wako, na siwezi kufanya hivyo.

January Makamba alisema Magufuli kashinda na ataapishwa 29/10/2015. Kataa na hili, Zuzu mkubwa wee ulokosa malezi ya kuheshimu walokuzidi
 
Maalim seif ukichukua madaraka kitu cha kwanza dai serikali tatu. Utakuwa umetusaidia huku bara kupata katiba mpya.

Katiba itaenda kupigiwa kura bungeni kama huwa majority ya wabunge ni kazi bure. Raisi hana madaraka ya kulazimisha
 
Back
Top Bottom