MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,966
Huyu jamaa sina ugomvi wala hiyana nae kwani mpaka sasa ni mtu wangu na rafiki wa karibu sana, nina namba yake ya simu na tunawasiliana sana yeye anavyowasiliana na Mh Rais, tukiacha mzaha kabisa majukwaa ya kisiasa ni mazito sana kwake na ni kama kumpa taabu mno. Kitakua ni kituko na maajabu ya kitaifa siku nikisikia ameshinda uchaguzi.
Ni ukweli usiopingika kua siasa ni kipaji na sio ya kutupukia tuu. Mpangilio wa hoja majukwaani nacho ni kipaji pia. Mtu kusisimama jukwaani badala ya kutazama nyuso za mass zinataka kusikia lakini wewe unaanza maigizo, mwisho wa siku hutoelewka na lazima ushindwe tuu.
Kwakweli CCM chama kina kazi ya ziada kufanikisha ushindi wake kama ilivyokua kwa UKAWA 20215,Idd Azan ni shuhuda wa hili na awaambie wanaccm wenzake ukweli jinsi alivyokua akihangaika majukwaani.Mtulia 2015 alibebwa na mafuriko ya UKAWA, vinginevyo idingekua rahisi kwa kua katika heka heka hizi za leo.
Siwezi kuongea sana maana siku zote siasa ni ubunifu na ufundi.