Tuwe wakweli jamani, Mtulia hawezi kuyamudu majukwaa ya kisiasa, CCM ina kazi ya ziada kwake

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,039
2,000
Huyu jamaa sina ugomvi wala hiyana nae kwani mpaka sasa ni mtu wangu na rafiki wa karibu sana, nina namba yake ya simu na tunawasiliana sana yeye anavyowasiliana na Mh Rais, tukiacha mzaha kabisa majukwaa ya kisiasa ni mazito sana kwake na ni kama kumpa taabu mno. Kitakua ni kituko na maajabu ya kitaifa siku nikisikia ameshinda uchaguzi.

Ni ukweli usiopingika kua siasa ni kipaji na sio ya kutupukia tuu. Mpangilio wa hoja majukwaani nacho ni kipaji pia. Mtu kusisimama jukwaani badala ya kutazama nyuso za mass zinataka kusikia lakini wewe unaanza maigizo, mwisho wa siku hutoelewka na lazima ushindwe tuu.

Kwakweli CCM chama kina kazi ya ziada kufanikisha ushindi wake kama ilivyokua kwa UKAWA 20215,Idd Azan ni shuhuda wa hili na awaambie wanaccm wenzake ukweli jinsi alivyokua akihangaika majukwaani.Mtulia 2015 alibebwa na mafuriko ya UKAWA, vinginevyo idingekua rahisi kwa kua katika heka heka hizi za leo.

Siwezi kuongea sana maana siku zote siasa ni ubunifu na ufundi.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
23,539

Mbona ccm wanasema wameshashinda. kama uko dar, upepo unavuma vipi?
 
MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,299
2,000
Hawapendwi kwa sababu ya matendo yao ya Kishetani---FAO LA KUJITOA hakuna

Katika huo muswada, aliyosoma Mh. Jenista Mhagama, kuna FAO LA UKOSEFU WA AJIRA

Sharti: Ili upate Fao la ukosefu wa Ajira...Usiwe umeacha kazi kwa hiari

Ina maana marufuku mtanzania kujiajiri, uwe mfanyakazi maisha yako yote mpaka ustaafu\

Pili: Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa jamii athibitishe kuwa huna ajira (Bureau crazy)

Ni Mateso kwa Wafanyakazi, ni Kiama...

Hata kama Kampuni au Mwajiri anakutesaje au hata ukose haki vipi, Hakuna kuresign

[HASHTAG]#TUCTA[/HASHTAG] kimyaaa

Watanzania wenzangu....Lengo la hii mifuko ni kumsaidia mtanzania au kumnyonya?

Kwa nini Serikali isingekusanya maoni ya Wafanyakazi? Ubabe na Udikteta..
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
30,403
2,000
Zile push up ndio huu mpera mpera anaowapeleka wazembe,mafisadi na wale wanaotaka majukwaa muda wote!
Mkuu nashukuru, miradi ya SGR na Stiegler gorge imefikia asilimia ngapi kila mmoja? Hapo ndio nitajua nguvu ya push-ups.
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
34,889
2,000
CHADEMA mpaka mumuone mtu anaongea kwa jazba kama Gwajima au anaporomosha matusi kama Lema na Sugu ndio mnaona anamudu jukwaa
Hivi mgombea kusimama jukwaani nakusema "unajua mimi nampenda Magufuli balaaa" ndio nini?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom