Tuwe wakweli Chadema kimenuka wala sii CCM

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,613
12,264
Tuwe wakweli jana chadema kimenuka, huyo anaitwa katibu mkuu sio chaguo la wana kindakindaki ndan ya chadema. Ila ili kupoteza maboya wa tanzania wakaandika as break news eti ccm kimenuka kisa mbunge wa ccm mwenye ma penz mema na chama chake ameshauri mawaziri ktk utendaji wao. Watanzania niswala la muda mchadema utakuwa histor ktk vitabu. Akisanteni
 
Back
Top Bottom