Tuwe wakweli, bila DIAMOND PLATNUMS, bongo flava ingekuwa kimataifa haipo/ imekufa kama bongo muvi.

Hivi unamjua sugu vizuri ww
Unaijua hardblastaz ww
Unaijua kwanza unit ww
Unamjua ngwair ww
Unamjua tid ww kafanya video hadi treni ya ulaya ya mwendokasi kipndi icho
Unamjua dullysykes ww
Unamjua jumanature ww
Unamjua alikiba ww japo sio wa kale sana

Au bado mtt
Try to be logical aysee
 
Hakuna mwanamziki yoyote Tanzania anayejulikana/anayependwa/anayetamba nje ya East Africa, ...huko South/US /EU wanaowajua hawa kina Juma nature/ Jay dee/ Kiba / Diamond & likes ni Watanzania wanaoishi huko..... tusipende kudanganyana as if wa Tz wote hatuna upeo/hatujawahi ishi nje ya border.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi ingawa kuna watu wameanza kumfahamu mond sasa, nina marafiki kutoka naija, wanamtaja jamaa na nyimbo wanayoitaja ni Mary me.
 
Hivi unamjua sugu vizuri ww
Unaijua hardblastaz ww
Unaijua kwanza unit ww
Unamjua ngwair ww
Unamjua tid ww kafanya video hadi treni ya ulaya ya mwendokasi kipndi icho
Unamjua dullysykes ww
Unamjua jumanature ww
Unamjua alikiba ww japo sio wa kale sana

Au bado mtt
Try to be logical aysee
Hawa wote ni wasanii ambao kweli walipambana sana katika kukuza muziki wetu (Bongo freva) hasa kwa hapa Tanzania.. Ila jamaa anasema INTERNATIONAL.. To be honest yeah nakubaliana na jamaa kuna watu walijaribu sana international kama AY na Lady Jay Dee ila hawakufanikiwa kwa kiasi kikubwa.. Diamond Platnumz ndo chachu ya haya unayoyaona sasa hata wakati mambo yanaanza pamba moto wenyewe hasa wasanii ambao walipata collaboration na wasanii wa nje walisema kwamba Diamond kawasaidia katika connection.. Not to be offensive ila ALI KIBA naona kabisa anatembelea upepo wa Diamond, ALLIKIBA alikuwepo kabla ya Diamond mbona hakuwa mkubwa kiasi hiki.. Why NOW!? HATERS wa Diamond ndo wapo kwa KIBA kuona Diamond anaanguka.. Suala la Diamond na KIBA naliona kabisa kama suala la RAY na KANUMBA.. RAY alitembelea upepo wa KANUMBA while jamaa alikuwa strong na alipush sana INDUSTRY. Leo hayupo who is RAY!? ALIKIBA namkubali sana hasa kwenye VOCAL ila Diamond anajua anachokifanya ndo maana ndani ya muda mfupi kawa Mkubwa sana. ALIKIBA angekuwa Mkubwa kabla ya Diamond ningekubali ila kawa mkubwa baada ya Diamond na ameanza game kitambo sana.
 
Hivi unamjua sugu vizuri ww
Unaijua hardblastaz ww
Unaijua kwanza unit ww
Unamjua ngwair ww
Unamjua tid ww kafanya video hadi treni ya ulaya ya mwendokasi kipndi icho
Unamjua dullysykes ww
Unamjua jumanature ww
Unamjua alikiba ww japo sio wa kale sana

Au bado mtt
Try to be logical aysee
Hujanielewa ndo maana umetoka hili povu.
 
Mkuu, Mondi ni msanii na kila raia anajua hilo....ila unaanza kukosea unapoanza kudhani kuwa ana sauti au anajua kucheza na sauti kimuziki. Mondi si mwanamuziki, ni msanii.

Ukiulizwa kipi kinachofanya wapenzi wa muziki kumkumbuka Whitney Houston utasema ni nini?

Unadhani kwanini watu wanajaribu kuwaangalia Sean Paul, R.Kelly, Akon, MJ, Jarule?

Mayweather ana pesa kweli kweli kutokana na mchezo wa ngumi ila kwa kutumia utashi wako bila kusikiliza maoni ya mwingine, unadhani huyo jamaa ni BONDIA wa kiwango cha mabondia ukijaribu kukumbuka mabondia waliopata kutokea ulimwengu huu?

Maywether ni Bondia mwenye Akili zaidi kuwahi kutokea Duniani.

Maywether ni mfupi, lakini amejua kuutumia mwili wake pamoja na akili yake kuweza kua maarufu sana na kutengeneza Pesa ndefu zaidi.

Maywether anapokwenda mapumziko, anachoambiwa akafanye anaporudi ulingoni ndicho anacho apply.
Ni rare kukutana na bondia aina hii.

Mike Tyson yupo broke. Ana akili ndogo. Na alikua mpenda sifa na mvuta bangi.wabaya wake waka take advantage katika hilo kumporomosha.

Mike Tyson ni bondia mwenye nguvu na mahiri kuwahi kuwepo duniani.

Mohammad Ali(Casious Clay) ni Bondia Mahiri na Bora zaidi kuwahi kutokea duniani. The greatest of all.

Bad news ni kua Hawa blacks wamekua wakikumbana na ubaguzi dhidi ya watu weupe.
Hata wanapopondewa utakuta kuna u-rangi unahusika.

Kwangu Mimi Mondi ana sauti na ni Bora mara mia ya ali kiba.

Ila kwenye huu wimbo wa [HASHTAG]#Seduce[/HASHTAG] me. Nalazimika kukiri kua amefunikwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati komando Jide anaenda kuzoa KORA kila mwaka,AY anasogea EA countries kutafuta collabo nakumbuka trip za legends wa Bongo fleva kwenda UK kufanya show miaka ile wengi kwa ufinyu wetu wa upeo hatuoni iyo misingi walioiweka waasisi wa Bongo Fleva waliowashawishi mama na baba wa hawa watoto wa leo kuruhusiwa kufanya muziki ambao wanaripua kazi alafu watoto wenzao wanakuja mbio kua bila uyu tusingefika kimataifa wakati watu wakiwa na tape tu mkononi walifika mashariki ya mbali achana na hawa wadogo zenu wanao bebwa na digital platform kiasi kwamba wimbo unasambaa duniani kwa sekunde tu nawakumbusha enzi zile za kutegemea vipindi vya redio ndio upate kurekodi Yamenikuta ya GWM kwenye tape yake ikitokea umechelewa basi unavizia weekend tena.
 
Habari zenu!
Kama kichwa cha habari kisemavyo, endapo msanii Diamond Platnums asingekuwapo basi bongo flava kimataifa isingevuka boda.
Mpaka sasa kimataifa ni yeye ndio amekuwa kama nembo ya bongo flava sio kwenye hip hop wala flava zingine, ni genre zote ni kama balozi.

Kijana Kiba sioni kama angeweza beba hili jukumu maana nae aliamka kidogo baada ya kulinganishwa na Mond aliyekuwa anachanja mbuga kimataifa, ila licha ya kujaribu bado hajafikia kiwango cha kimataifa haswa cha kukubalika South, East, West na Central Afrika kama Diamond. Ila lazima tutambue mchango wa Kiba kwa Mond pia na wa Mond kwa Kiba, upinzani wao umewachonga zaidi.

Bila Diamond, bongo flava ingekuwa kimataifa imekufa kama bongo muvi ilivyokufa, inasikitisha ni Kanumba ndiye aliibeba bongo muvi, Mungu kamchukua, kaenda na bongo muvi.
Hivyo kijana Diamond anastahili heshima yake, najua kwa watanzania wengi hawapendi mtu afanikiwe, ila mtu akijitoa ktk kundi la watu wa kawaida na kupanda juu huwa anachukiwa, Kijana Diamond nakupa moyo endelea kupambana na kuwakilisha nchi yako, pia nakupongeza kwa KUIBUA vipaji vingine navyo kimataifa vinaanza kufahamika.
Mawashauri pia wasanii wengine wakubwa WA NDANI ya nchi kama Kiba wakuze na kuibua vipaji vya wengine pia.
Sawa lakini Usiwasahau waasisi wa mziki huu
 
4d36b68189d386cd6e7310ba28479e7f.jpg
 
Kwa mondi kaipaisha sana bongo fleva haipingiki
Mondi kaobgoza kupugwa vita saba ya chini chini Na ya live live lakini hajatetereka zipo media ambazi zimejuraidi sana kumuangusha lakini zimeshindwa. Nahisi mitandao ya kijamii ndio imesimamam imara Na mondi
 
Habari zenu!
Kama kichwa cha habari kisemavyo, endapo msanii Diamond Platnums asingekuwapo basi bongo flava kimataifa isingevuka boda.
Mpaka sasa kimataifa ni yeye ndio amekuwa kama nembo ya bongo flava sio kwenye hip hop wala flava zingine, ni genre zote ni kama balozi.

Kijana Kiba sioni kama angeweza beba hili jukumu maana nae aliamka kidogo baada ya kulinganishwa na Mond aliyekuwa anachanja mbuga kimataifa, ila licha ya kujaribu bado hajafikia kiwango cha kimataifa haswa cha kukubalika South, East, West na Central Afrika kama Diamond. Ila lazima tutambue mchango wa Kiba kwa Mond pia na wa Mond kwa Kiba, upinzani wao umewachonga zaidi.

Bila Diamond, bongo flava ingekuwa kimataifa imekufa kama bongo muvi ilivyokufa, inasikitisha ni Kanumba ndiye aliibeba bongo muvi, Mungu kamchukua, kaenda na bongo muvi.
Hivyo kijana Diamond anastahili heshima yake, najua kwa watanzania wengi hawapendi mtu afanikiwe, ila mtu akijitoa ktk kundi la watu wa kawaida na kupanda juu huwa anachukiwa, Kijana Diamond nakupa moyo endelea kupambana na kuwakilisha nchi yako, pia nakupongeza kwa KUIBUA vipaji vingine navyo kimataifa vinaanza kufahamika.
Mawashauri pia wasanii wengine wakubwa WA NDANI ya nchi kama Kiba wakuze na kuibua vipaji vya wengine pia.
Well said! Diamond ni Superstar......ni zaidi ya mwimbaji na entertainer..... huwezi kumlinganisha na wenzake kama kina KIBA ambao kazi yao ni kuimba.... Diamond amejitofautisha na wengine kwa kuweza kufuata kile kinachofanywa na wanamuzuki wakubwa duniani.... KEEP IT UP! UKIWA NA MAFANIKIO HATERS LAZIMA WATAKUZUNGUKIA....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom