Tuwe makini usalama sasa haupo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuwe makini usalama sasa haupo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Anyisile Obheli, Jan 29, 2010.

 1. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Maji yameingia mdudu.....heri kuchimba kisima chako mwenyewe....ili uyafaidi yaliyo salama kwa afya yako na kuepuka kuishi kwa matumani, chupa kubwa na ndogo zote ni hatari....mengine hupatikana bure....uyatumie uanze kuishi kwa matumaini na baadae ili ufe, yapo yanayopitishwa mitaani ukiomba tu wapewa, na dawa ya mdudu haijapatikana, na mengine chupa safi kama vile ni salama,
  ........,.......kuwa makini ewe mwenye kiu,,,,,,,!!!!! usije ukaangamia.
   
 2. M

  Magezi JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Eleza ni maji yapi yameathiriwa kwani unaweka siri ili iweje?? Unasema kuchimba kisima usifikiri maji ya kisima ni kuchimba tu, lazima yapimwe mengine hayanyweki kwa sababu ni saline water hasa maeneno ya Dar.
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  I hope huongelei maji weye ;)
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,396
  Likes Received: 22,273
  Trophy Points: 280
  kweli wewe sio msanii ila mwana sanaa.
  kazi nzuri ya lugha.
  hongera
   
 5. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hakuna mzazi kamfundisha mwanae mambo ya duniani, naona umezoea kurahishiwa, harafu inaonesha wakurupuka tu bila kusumbua akili juu ya nini kimenwa, jifunze kuhangaisha kichwa, kwani hapo umambiwa nini? kwa usalama wako swala ni kujitengenezea mmaji salama (na kitu kikiishaitwa salama maana yake kina sifa zinazohitajika) wa wapi wewe heee!!!! rudi shule kajifunze nahau na misemo,
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Ila shida kubwa ni kuwa huwezi kuvumilia kiu, ni lazima maji uyanywe ila jitahidi kuweka chujio mdudu asipenye. hatari kweli kweli
   
Loading...