Tuwe makini tunaposafiri na mabasi

Eti dereva katoka Dar vizuri kwenda Tanga, kafika Korogwe kwenye chakula, kawapa muda wa kula abiria dakika kumi.

Abiria wote wameenda na muda, kasoro Dereva. Mara katokea na chupa kubwa ya maji ya kilimanjaro.. Jasho jepesi usoni.. Halafu unakuta mtu unamuona na bado unakuwa na amani, kweli kabisa mtu na akili zako unatulia kabisa..

Matokeo yake kaua mwendesha baiskeli na basi kupinduka. Watu watatu hapo hapo.. Wawili hospitalini.. Jumla watano. Majeruhi ndio usiseme.. Duuh!! Kama kweli ni dereva, angemgonga mmoja akaokoa basi, ila bwana Dereva kaangusha basi na mwendesha baiskeli kamgonga.. Duuh Dereva..

N:B Tuwe makini tunapo safiri na mabasi, kuwa huru kwasababu umetoa pesa.. Pesa yako inaisha pindi ukifa tu.
Au unamaanisha dereva alieka viroba kweny chupa ya maji?? Hujaeleweka kabisa
 
Ukikabidhiwa kwa mama wa kambo moja fanya hapo kama sio kwenu, mbili hakikisha unasimama kwa fikra zako, ukiambatanisha na juhudi binafsi.. Niliishia darasa la nne sababu ya mama wa kambo, ila haijanifanya niwe sina thamani katika maisha yangu. Ndio maana leo ninaweza kukaa ndani gari siku nzima ikiwa imepaki uku ikiwa inaunguruma nakula hewa ya Japan tu.

Haishangazi kwa darasa lako, umefika!
 
Back
Top Bottom