Tuwe makini sana na wezi wa mitandaoni (scammers) kwenye utafutaji wa ajira

Big Phil

Member
Nov 20, 2019
50
338
Habari!

Ndugu zangu ambao tuna- apply kazi online tuwe makini sana na scam au wezi wa mitandaoni wapo wengi sana siku hizi na wanatumia depression za vijana wengi kukosa ajira ili kujinufaisha.

Hakikisha kwa namna yoyote unaomba kazi kupitia appropriate source kama ajira portal, CV People Tanzania, Empower, LinkedIn n.k na uliza kwa watu unaowaamini na hata kama umekuwa shortlisted hakikisha haombwi hela ama kuambiwa unatakiwa ufanye sio assessment gani ambayo unapaswa kulipa ni hivi kama kampuni inakuhitaji itakulipia tu hizo trainings wewe husiingie gharama yoyote.

Please guys kuna vijana wenzetu wengi wameibiwa, let's not be you my brothers and sisters.

Mungu akubariki wewe unayesoma hii nakala na akupatie hitaji la moyo wako kwenye kipindi hiki cha Kwaresma na Mfungo wa Ramadhan.

Big Phil.
 
Na siku hizi imezuka matangazo ya kazi yanahitaji watu 900 na zingine hadi maelfu...sijui ni taasisi gani hiyo inaajiri kwanamna hiyo.
 
Back
Top Bottom