Kilichotokea Haiti kila mmoja wetu anakijua, ni jambo la kutisha kuuliwa Rais ktk makazi yake lkn waliotekeleza mauaji hayo ni wahamiaji haramu.
Kwa nchi yetu yenye wimbi la wahamiaji haramu inapaswa vyombo vyetu viwe macho masaa 24, operation ktk mahoteli ziwe zinafanyika.
Wapo wahamiaji haramu wengi wamejibanza katika maeneo yetu, katika mahoteli yetu, hatujui kila mmoja na nia yake.
Ni muhimu sana kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu kwa usalama wa nchi yetu.