Elections 2010 Tuwe makini - kuna watu wanataka kuivuruga chadema

mozze

Senior Member
Aug 27, 2010
185
28
Tuwe makini. Humu ukumbini wameingia watu "virus" ambao nia yao ni kuona Chadema wanafarakana. Wapo watu wanaoshabikia na kusambaza sumu, kwa mfano kutabiri Zitto kutaka kugombea uongozi wa upinzani bungeni, wengine wanasema Zitto kasaliti Chama...na mambo kama hayo. Tuwapuuze hawa watu kwani mambo ya Chama yanashughulikiwa na vikao vya Chama na sio ushabiki. Nina uhakika Viongozi wa Chadema na wanachama wake ni Makini na watafanya maamuzi MAKINI kukiweka tayari Chama kwa 2015.

Tuwashukuru wote walioleta changamoto ya kisiasa nchini, Bila hawa akina Mbowe, Slaa, Zitto na wengine tusingekuwa hapa tulipo. Tuwape moyo badala ya kuwakatisha tamaa mana saa ya mabadiliko inakaribia.
Kutokana na uchaguzi wa mwaka huu, Japo CCM wameshinda lakini nchi na uongozi hautakuwa kama ulivyokuwa kabla ya 2010.

CCM watapandikiza watu humu JF ili kuvuruga wapenzi wa Chadema mana wamegundua JF ina nguvu kuleta mabadiliko. TUwe MAKINI SANA!
 
Hawawezi.

Walitutumia meseji za "Chadema wanataka kumwaga damu", na bado tukakipigia kura. Sembuse huu upupu? Hapo wamefulia. Watafute hoja nyingine yenye mashiko. Ya kujenga.
 
Tuwe makini. Humu ukumbini wameingia watu "virus" ambao nia yao ni kuona Chadema wanafarakana. Wapo watu wanaoshabikia na kusambaza sumu, kwa mfano kutabiri Zitto kutaka kugombea uongozi wa upinzani bungeni, wengine wanasema Zitto kasaliti Chama...na mambo kama hayo. Tuwapuuze hawa watu kwani mambo ya Chama yanashughulikiwa na vikao vya Chama na sio ushabiki. Nina uhakika Viongozi wa Chadema na wanachama wake ni Makini na watafanya maamuzi MAKINI kukiweka tayari Chama kwa 2015.

Tuwashukuru wote walioleta changamoto ya kisiasa nchini, Bila hawa akina Mbowe, Slaa, Zitto na wengine tusingekuwa hapa tulipo. Tuwape moyo badala ya kuwakatisha tamaa mana saa ya mabadiliko inakaribia.
Kutokana na uchaguzi wa mwaka huu, Japo CCM wameshinda lakini nchi na uongozi hautakuwa kama ulivyokuwa kabla ya 2010.

CCM watapandikiza watu humu JF ili kuvuruga wapenzi wa Chadema mana wamegundua JF ina nguvu kuleta mabadiliko. TUwe MAKINI SANA!

mbona hoja yako ni kibinafsi sana na kwanini unaita wezio virus? basi kifupi ungeomba hii forum au ukumbi kama ulivyouita ibadilishwe jina badala ya JAMIIFORUMS The Home of Great Thinkers! na iwe CHADEMA PEOPLES!!!!!!!!!!!!!!!!

I submit

Wamekuwa wengi na naona leo wamekuja na data fake za matokeo ya uchaguzi na hata kudanganya hawajui. Zitto na wengine ni wanachadema na mambo ya CHADEMA ni ya CHADEMA
 
U submit upumbavu,Jamaa ametoa maoni yake na hii ishu iko waz nyie ma agent mpo.Chadema itaendelea kusimama nawewe kama thread haikuhusu piga kimya sio lazima uchangie.
 
mbona hoja yako ni kibinafsi sana na kwanini unaita wezio virus? basi kifupi ungeomba hii forum au ukumbi kama ulivyouita ibadilishwe jina badala ya JAMIIFORUMS The Home of Great Thinkers! na iwe CHADEMA PEOPLES!!!!!!!!!!!!!!!!

I submit

Wewe ni mmoja wao nini.
 
Ama kweli ukimwi ni ukimwi tu ni lazima utajitokeza hata unywe dawa vipi......sssshhhhhuuuut up
 
mbona hoja yako ni kibinafsi sana na kwanini unaita wezio virus? basi kifupi ungeomba hii forum au ukumbi kama ulivyouita ibadilishwe jina badala ya JAMIIFORUMS The Home of Great Thinkers! na iwe CHADEMA PEOPLES!!!!!!!!!!!!!!!!

I submit

Wewe ni mmoja wa hawa virusi tunaowasema, tena seems ni mbaya sana ww kama ilivyo sistem yako.
 
Tuwe makini. Humu ukumbini wameingia watu "virus" ambao nia yao ni kuona Chadema wanafarakana. Wapo watu wanaoshabikia na kusambaza sumu, kwa mfano kutabiri Zitto kutaka kugombea uongozi wa upinzani bungeni, wengine wanasema Zitto kasaliti Chama...na mambo kama hayo. Tuwapuuze hawa watu kwani mambo ya Chama yanashughulikiwa na vikao vya Chama na sio ushabiki. Nina uhakika Viongozi wa Chadema na wanachama wake ni Makini na watafanya maamuzi MAKINI kukiweka tayari Chama kwa 2015.

Tuwashukuru wote walioleta changamoto ya kisiasa nchini, Bila hawa akina Mbowe, Slaa, Zitto na wengine tusingekuwa hapa tulipo. Tuwape moyo badala ya kuwakatisha tamaa mana saa ya mabadiliko inakaribia.
Kutokana na uchaguzi wa mwaka huu, Japo CCM wameshinda lakini nchi na uongozi hautakuwa kama ulivyokuwa kabla ya 2010.

CCM watapandikiza watu humu JF ili kuvuruga wapenzi wa Chadema mana wamegundua JF ina nguvu kuleta mabadiliko. TUwe MAKINI SANA!

Mkuu wazo lako si baya ni katika kujaribu kuwasilisha ulicho nacho.

Sasa ingekuwa ni vizuri kama ungeleta hoja yako na vidhibiti kama ni hoja zipi ulizoziona kuwa virusi au zenye lengo la kuvuruga jukwaa hili halafu ungetanabaisha hoja zizo moja baada ya ingine.

Usisahau, hoja hujibiwa kwa hoja.
 
tuwe makini. Humu ukumbini wameingia watu "virus" ambao nia yao ni kuona chadema wanafarakana. Wapo watu wanaoshabikia na kusambaza sumu, kwa mfano kutabiri zitto kutaka kugombea uongozi wa upinzani bungeni, wengine wanasema zitto kasaliti chama...na mambo kama hayo. Tuwapuuze hawa watu kwani mambo ya chama yanashughulikiwa na vikao vya chama na sio ushabiki. Nina uhakika viongozi wa chadema na wanachama wake ni makini na watafanya maamuzi makini kukiweka tayari chama kwa 2015.

Tuwashukuru wote walioleta changamoto ya kisiasa nchini, bila hawa akina mbowe, slaa, zitto na wengine tusingekuwa hapa tulipo. Tuwape moyo badala ya kuwakatisha tamaa mana saa ya mabadiliko inakaribia.
Kutokana na uchaguzi wa mwaka huu, japo ccm wameshinda lakini nchi na uongozi hautakuwa kama ulivyokuwa kabla ya 2010.

Ccm watapandikiza watu humu jf ili kuvuruga wapenzi wa chadema mana wamegundua jf ina nguvu kuleta mabadiliko. Tuwe makini sana!

sio ccm tu waliopandikiza watu wao humu jf, hata chadema, cuf, nccr nao pia wamepandikiza watu wao humu mfano ni wewe mwenyewe unaeshabikia chadema na kuwaita wengine virus!
Kumbe virus wako ktk kila chama na ushahidi utaona humu jf kunapost nyingi za uongo dhidi ya ccm au cuf! Hivyo ndugu usidhani watu wote humu ni chadema bali wengine kama sisi hatuna chama bali tanzania kwanza!!!
 
mbona hoja yako ni kibinafsi sana na kwanini unaita wezio virus? basi kifupi ungeomba hii forum au ukumbi kama ulivyouita ibadilishwe jina badala ya JAMIIFORUMS The Home of Great Thinkers! na iwe CHADEMA PEOPLES!!!!!!!!!!!!!!!!

I submit

Mbona imekugusa sana, unahusika nini!
 
Mengine yasemwayo yapo lakini, jipe muda. Lakini hoja ijibiwe kwa hoja siyo ku dismiss. Virus wengine wanaweza kuwa wanasaidia chadema kutokujisahau
 
mbona hoja yako ni kibinafsi sana na kwanini unaita wezio virus? basi kifupi ungeomba hii forum au ukumbi kama ulivyouita ibadilishwe jina badala ya JAMIIFORUMS The Home of Great Thinkers! na iwe CHADEMA PEOPLES!!!!!!!!!!!!!!!!

I submit

Mashushu wapo hapa JF tena kwa wingi sana.
Tatizo kubwa la mashushu ndani ya JF ni kwamba hawajui nini wanatakiwa kufanya kutekeleza kazi yao.
Huu ni uwanja mpya kwao na mgumu kuumudu.
Wanaenda wakinusanusa nyuma za watu bila mpangilio. Wengine baada ya kukaa kwa muda mrefu huku wakijificha nyuma ya hoja zaosubra imekwisha sasa wanatuonyesha maumbo yao halisi. Wengine bado wanafanikiwa kuendelea kujificha nyuma ya hoja zao. Wengine wanafanikiwa kutuvuta upande wao na kuhakikisha tunaendelea kujadiri hoja kisengele nyuma ili tushindwe kufika kule tuendako.
Jua linaendelea kuwaka muda si mrefu gundi itayeyuka na pembe zao kuanguka ndipo tutajua kwamba si kondoo wenzetu ni Fisi wala watu.
 
Back
Top Bottom