Tuwaunge mkono Wapambanaji kwa kukemea Mafisadi bila kujali Itikadi Za Vyama vyetu.

greenstar

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
390
53
Nimegundua Mafisadi wananguvu sana kifedha pia hawahofii upinzani toka nje ya CCM kwa vile wakifanikiwa kukiteka Chama Tawala watafanikiwa kutimiza malengo yao."Kumbukeni vita vya panzi furaha kwa kunguru".....Mafisadi wapo tayari kuona nchi inachafuka wao wataenda kula bata ULAYA ambako wamesha deposit vijisenti walivyonyonya nchi yetu.

Tusibeze mapambano ya kuwavua magamba mafisadi waliopo ndani ya CCM kwani hao watakuwa kikwazo hata Kwa chama chetu kikipata fursa ya kutawala hapo 2015.Wameshapeleka vibaraka wao hata kwenye vyama vya UPINZANI.
 
Back
Top Bottom